title : KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAJADILI BAJETI YA MKOA WA TABORA
kiungo : KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAJADILI BAJETI YA MKOA WA TABORA
KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAJADILI BAJETI YA MKOA WA TABORA

Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakifuatilia taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya Mkoa wa Tabora kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Hamad Maalim akichangia jambo wakati Kamati hiyo ikipokea taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya Mkoa wa Tabora kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mheshimiwa Agrey Mwanri akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi ya kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya Mkoa huo mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Hivyo makala KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAJADILI BAJETI YA MKOA WA TABORA
yaani makala yote KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAJADILI BAJETI YA MKOA WA TABORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAJADILI BAJETI YA MKOA WA TABORA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/kamati-ya-utawala-na-serikali-za-mitaa_22.html
0 Response to "KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAJADILI BAJETI YA MKOA WA TABORA"
Post a Comment