title : RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA IKULU ZANZIBAR
kiungo : RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA IKULU ZANZIBAR
RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Tanzania Nchini Zambia Balozi Hassan Simba Yahya, alipofika Ikulu Zanzibar leo 22-3-2019, kwa mazungumzo na Rais.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Hassan Simba Yahya, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo 22-3-2019(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Balozi Hassan Simba Yahya, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo, 22-3-2019.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA IKULU ZANZIBAR
yaani makala yote RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA IKULU ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA IKULU ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/rais-dkt-shein-azungumza-na-balozi-wa.html
0 Response to "RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA IKULU ZANZIBAR"
Post a Comment