MKUU WA CHUO DUCE AFUNGUA BONANZA LA MAZOEZI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO HICHO.

MKUU WA CHUO DUCE AFUNGUA BONANZA LA MAZOEZI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO HICHO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA CHUO DUCE AFUNGUA BONANZA LA MAZOEZI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO HICHO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA CHUO DUCE AFUNGUA BONANZA LA MAZOEZI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO HICHO.
kiungo : MKUU WA CHUO DUCE AFUNGUA BONANZA LA MAZOEZI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO HICHO.

soma pia


MKUU WA CHUO DUCE AFUNGUA BONANZA LA MAZOEZI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO HICHO.


Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha elimu DUCE Chang'ombe jijini Dar es salaam Profesa Bernadeta Killian akipiga mpira wa penati kuashiria ufunguzi wa bonanza la mazoezi ya wafanyakazi wa chuo hicho jana kwenye viwanja vya chuo hicho jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha elimu DUCE Chang'ombe jijini Dar es salaam Profesa Bernadeta Killian akizungumza na wafanyakazi wa chuo hicho wakati akifungua bonanza la mazoezi na michezo kwa wafanyakazi lililofanyika jana chuoni hapo jana jijini Dar es salaam na kushirikisha michezo mbalimbali ikiwemo Mpira wa Miguu, Pete, Bao na Drafti.

Lengo la Bonanza hilo la mazoezi ni kuwafanya wafanyakazi kujiweka sawa kwa afya ya miili yao ili kuwa tayari kutumikia chuo hicho kwa wakiwa na afya na miili iliyo yimamu kabisa kiafya.
Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bonanza Dk. Julius Mgunai, Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu DUCE Chang'ombe , Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu Kishirki cha Elimu DUCE Taaluma Dk. Julius Mbuna na Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu DUCE Fedha Dk. Method Samwel wakielekea mahali ambapo bonanza hilo lilizinduliwa kwa kupigwa mpira wa penati na Mkuu wa Chuo hicho Profesa Bernadeta Killian.
Naibu Mkuu wa Chuo Fedha Dk. Method Samwel akiwa ameanguka chini baada ya kushindwa kudaka penati iliyopigwa na Mkuu wa Chuo hicho Profesa Bernadeta Killian wakati wa uzinduzi wa bonanza la mazoezi chuoni hapo jana.
Vikosi vya timu zilizoshiriki katika bonanza hilo vikiwa katika picha ya pamoja.
Vikosi vya timu za mpira wa pete vikiwa katika picha ya pamoja.
Wachezaji wa mpira wa miguu wakichuana vikali wakati wa mchezo wa mpira wa miguu.
Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha elimu DUCE Chang'ombe jijini Dar es salaam Profesa Bernadeta Killian akifurahia jambo kabla ya kupiga mpira wa penati wakati wa uzinduzi wa bonanza hilo.
Baadhi ya wafanyakazi wakifurahia mara baada ya hotuba fuoi ya mkuu wa chuo hicho Profesa Bernadeta Killian.


Hivyo makala MKUU WA CHUO DUCE AFUNGUA BONANZA LA MAZOEZI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO HICHO.

yaani makala yote MKUU WA CHUO DUCE AFUNGUA BONANZA LA MAZOEZI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO HICHO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA CHUO DUCE AFUNGUA BONANZA LA MAZOEZI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO HICHO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/mkuu-wa-chuo-duce-afungua-bonanza-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA CHUO DUCE AFUNGUA BONANZA LA MAZOEZI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO HICHO."

Post a Comment