title : Siku ya Mtoto wa Afrika Yaadhimishwa Kisiwani Pemba.
kiungo : Siku ya Mtoto wa Afrika Yaadhimishwa Kisiwani Pemba.
Siku ya Mtoto wa Afrika Yaadhimishwa Kisiwani Pemba.
MRATIBU wa maadhimisho wa siku ya mtoto wa Afrika duniani, kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Safia Saleh Sultan, akizungumza kwenye maadhimisho hayo yaliofanyika skuli ya sekondari Madungu Chakechake Pemba
MRATIBU wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika duniani, ambapo kwa Pemba yalifanyika skuli ya sekondari Madungu Chakachake Pemba
WATOTO kutoka mabaraza mbali mbali ya watoto kisiwani Pemba, waliohudhuria maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika duniani, ambapo kwa Pemba yalifanyika skuli ya Sekondari Madungu na yalitayarishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba

Hivyo makala Siku ya Mtoto wa Afrika Yaadhimishwa Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Siku ya Mtoto wa Afrika Yaadhimishwa Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Siku ya Mtoto wa Afrika Yaadhimishwa Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/siku-ya-mtoto-wa-afrika-yaadhimishwa.html
0 Response to "Siku ya Mtoto wa Afrika Yaadhimishwa Kisiwani Pemba."
Post a Comment