DKT. GHALIB BILAL KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI YA KILL CHALLENGE 2017

DKT. GHALIB BILAL KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI YA KILL CHALLENGE 2017 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. GHALIB BILAL KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI YA KILL CHALLENGE 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. GHALIB BILAL KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI YA KILL CHALLENGE 2017
kiungo : DKT. GHALIB BILAL KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI YA KILL CHALLENGE 2017

soma pia


DKT. GHALIB BILAL KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI YA KILL CHALLENGE 2017

MAKAMU wa Rais mstaafu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt Mohamed  Ghalib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kampeni ya Kill Challenge kwa mwaka 2017, kampeni hiyo yenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi ya vurusi vya Ukimwi.

Kampeni hiyo ambayo imeandaliwa na Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) kwa kushirikiana na Tume ya kupambana na virusi vya Ukimwi  nchini (TACAIDS).

Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo, Makamu wa Rais wa mradi endelevu wa Mgodi (GGM), Simo Shayo amesema uzinduzii huo utafanyika kwenye Hotel ya kimataifa  Kilimanjaro  Hoteli .

‘’Nawakalibisha watu wote kujitokeza katika kuchangia fedha hizi ili zisaidie katika kupambana na maambuzi haya, kwani jukumu la kupambana na ugonjwa huu sio wa serikali peke yake bali hata jamii nzima inahaja ya kujitokeza na kupambana na ugonjwa huu’’Amesema Shayo.

Shayo amebainisha kuwa  katika kampeni hiyo wameshirikiana na wasanii akiwemo Mrisho  Mpoto kwa lengo la kuiamsha jamii ili ijitokeze katika kupambana na vita hiyo.

Kwa upande wake mkurugenzi wa (TACAIDS)Dkt Leonard Maboko amewasihi Makampuni mengine yaige mfano  wa (GGM) Katika kuhakisha watahakikisha ugonjwa wa Ukimwi unatokomezwa nchini.
Makamu wa Rais wa miradi endelevu wa Mgodi (GGM), Simo Shayo akizungumza na waaandishi wa habari (hawapo pichani) juu uzinduzi wa kampeni ya Kill Challenge kwa mwaka 2017, leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa (TACAIDS), Dkt. Leonard Maboko naye akizungumzia Kampeni hiyo katika mkutano ulio fanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mwanamziki maarufu nchini, Mrisho Mpoto ambaye ni Balozi wa Kampeni ya Killchalange 2017 amapo amewasihi wasanii wenzake kujitokeza na kuungana naye katika vita ya kupambana dhidi ya maambuki ya virusi vya Ukimwi.leo jijini Dar es Salaam.
Watendaji wa (TACAIDS) na waandishi wa habari wakimsikiliza Makamu wa Rais wa miradi endelevu wa Mgodi (GGM) ,Simo Shayo.


Hivyo makala DKT. GHALIB BILAL KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI YA KILL CHALLENGE 2017

yaani makala yote DKT. GHALIB BILAL KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI YA KILL CHALLENGE 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. GHALIB BILAL KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI YA KILL CHALLENGE 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/dkt-ghalib-bilal-kuwa-mgeni-rasmi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT. GHALIB BILAL KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI YA KILL CHALLENGE 2017"

Post a Comment