MASAUNI AAGIZA TRAFIKI WALIOMSHAMBULIA , KUMTUSI DEREVA NA ABIRIA WAKE WACHUKULIWE HATUA KWA MUJIBU WA SHERIA

MASAUNI AAGIZA TRAFIKI WALIOMSHAMBULIA , KUMTUSI DEREVA NA ABIRIA WAKE WACHUKULIWE HATUA KWA MUJIBU WA SHERIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASAUNI AAGIZA TRAFIKI WALIOMSHAMBULIA , KUMTUSI DEREVA NA ABIRIA WAKE WACHUKULIWE HATUA KWA MUJIBU WA SHERIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASAUNI AAGIZA TRAFIKI WALIOMSHAMBULIA , KUMTUSI DEREVA NA ABIRIA WAKE WACHUKULIWE HATUA KWA MUJIBU WA SHERIA
kiungo : MASAUNI AAGIZA TRAFIKI WALIOMSHAMBULIA , KUMTUSI DEREVA NA ABIRIA WAKE WACHUKULIWE HATUA KWA MUJIBU WA SHERIA

soma pia


MASAUNI AAGIZA TRAFIKI WALIOMSHAMBULIA , KUMTUSI DEREVA NA ABIRIA WAKE WACHUKULIWE HATUA KWA MUJIBU WA SHERIA

 Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameonesha kukerwa na kitendo cha askari wa wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani, ambao wameonekana kwenye video kupitia mitandao ya kijamii wakimtukana dereva na kumpiga yeye na abiria wake  huku akieleza kuwa tayari wamekamatwa na kuwekwa ndani ili sheria ichukue mkondo wake.
Kukamatwa kwa askari hao kumetokana na agizo lililotolewa na Mhandisi Masauni ambapo amesema katu Serikali haiko tayari kuona Jeshi la Polisi likichafuliwa na baadhi ya askari waliokosa uadilifu.
Akizungumza leo ijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya uchoraji la usalama barabarani, Masauni amesema kumekuwa na malalamiko mengi ya madereva kubambikiwa makosa au askari kufanya vitendo vilivyo kinyume na mwenendo mwema wa jeshi la polisi.
“Kuna video ambayo tangu jana imeonekana ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonesha askari wakimtukana dereva pamoja na abiria waliokuwamo na si hivyo tu ilifika hadi kumpiga. Baada ya tukio hili nilimuagiza Kamanda wa Kiko cha Usalama Barabarani achukue hatua kwa suala hili. Kwa taarifa ambazo ninazo tayari wamekamatwa,"amesema.
 Amesema ikitokea mtumiaji yoyote wa barabara amefanyiwa vitendo vyovyote asisite kuwasiliana na uongozi wa askari aliyefanya vitendo hivyo.“Na ikitokezea uongozi wa askari husika anatetea au kutochukua hatua muafaka, mlalamikaji apande kwa uongozi wa juu na ikibidi afike hata kwangu nani mitachukua hatua stahiki na utapata mrejesho.
 Kuhusu suala la usalama barabarani, Mhandisi Masauni amesema anaipongeza Kampuni ya Mafuta ya Puma kwa kuendesha program hiyo ambapo pia alizitaka kampuni zingine kuiga mfano huo kwa kuwekeza kwenye ulinzi na usalama wa watoto kwani ni Taifa leo kesho na wateja wa kesho pia.
 “Programu hizo zimekuwa zikikabiliw na changamoto mbalimbali za kifedha. Ninaomba kutumia fursa hii kuomba uongozi wa Puma kukisaidia Kikosi cha Usalama Barabarani kuzifikia shule zote nchini kwa kupitia askati walioko kwenye maeneo yote nchini.Namuagiza Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani kuanza mchakato wa kuandaa andiko la kutoa mafunzo kwa shule zote nchini na kuliwasilisha kwenu (Puma) ili muone namna yambavyo mnaweza kusaidia kuokoa kizazi chetu cha kesho,” alisema Masauni


Hivyo makala MASAUNI AAGIZA TRAFIKI WALIOMSHAMBULIA , KUMTUSI DEREVA NA ABIRIA WAKE WACHUKULIWE HATUA KWA MUJIBU WA SHERIA

yaani makala yote MASAUNI AAGIZA TRAFIKI WALIOMSHAMBULIA , KUMTUSI DEREVA NA ABIRIA WAKE WACHUKULIWE HATUA KWA MUJIBU WA SHERIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI AAGIZA TRAFIKI WALIOMSHAMBULIA , KUMTUSI DEREVA NA ABIRIA WAKE WACHUKULIWE HATUA KWA MUJIBU WA SHERIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/masauni-aagiza-trafiki-waliomshambulia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MASAUNI AAGIZA TRAFIKI WALIOMSHAMBULIA , KUMTUSI DEREVA NA ABIRIA WAKE WACHUKULIWE HATUA KWA MUJIBU WA SHERIA"

Post a Comment