title : BEN POL KUPEWA UBALOZI WA MAÜA ASSOCIATION NCHINI UFARANSA
kiungo : BEN POL KUPEWA UBALOZI WA MAÜA ASSOCIATION NCHINI UFARANSA
BEN POL KUPEWA UBALOZI WA MAÜA ASSOCIATION NCHINI UFARANSA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Benard Paul 'Ben Pol' (wa pili kushoto) akiwa tayari amewasili katika Jiji la Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalumu ikiweo uzinduzi wa Filamu ya NDOTO na kutambulishwa kuwa balozi wa taasisi ya Maüa association.
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Benard Paul 'Ben Pol' ameenda nchinI Ufaransa kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalum ya MAÜA Association pamoja na uzinduzi wa Filamu ya NDOTO utakaofanyika Tarehe Novemba 18, 2017 mjini Paris nchini humo.
Ben Pol alisema kuwa tayari amewasili nchini humo kwa ajili ya hafla hiyo iliyoandiliwa na watanzania wanaoishi nchini Ufaransa na hafla hiyo itaambatana na utambulisho rasmi wa Msanii huyo kama balozi mpya wa MAÜA association.
"Mimi tayari nimeshafika huku na nina matarajio makubwa katika tamasha hili ambalo ni mara ya kwanza kwangu kushiriki katika nchi hii,"alisema.
Alisema kuwa hafla hiyo inatarajiwa kuhudhuriwa na Wana-diaspora, viongozi na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi.
Maüa association ni taasisi iliyoundwa na Watanzania waishio ughaibuni (Ufaransa). MAÜA association ilianzishwa na kusajiliwa kwa sheria za mashirika ya kujitolea nchini Ufaransa kwa minajili ya kutoa usaidizi wa kiafya kwa watoto na vijana ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao.
Hivyo makala BEN POL KUPEWA UBALOZI WA MAÜA ASSOCIATION NCHINI UFARANSA
yaani makala yote BEN POL KUPEWA UBALOZI WA MAÜA ASSOCIATION NCHINI UFARANSA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BEN POL KUPEWA UBALOZI WA MAÜA ASSOCIATION NCHINI UFARANSA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/ben-pol-kupewa-ubalozi-wa-maua.html
0 Response to "BEN POL KUPEWA UBALOZI WA MAÜA ASSOCIATION NCHINI UFARANSA"
Post a Comment