title : Maadhimisho ya siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani kufanyika kesho
kiungo : Maadhimisho ya siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani kufanyika kesho
Maadhimisho ya siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani kufanyika kesho
Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) kuelekea maadhimisho ya siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani yatayofanyika kesho tarehe 20/03/19 Mapinduzi Square Michenzani Mjini Unguja.
Baadhi ya wandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakifuatilia Mkutano wa Waziri wa Afya alipokutana nao kuzungumzia maadhimisho ya siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani yatayofanyika Mapinduzi Square Michenzani.
Daktari bingwa wa meno Zanzibar Iddi Sleiman Iddi akijibu baadhi ya maswali yalioulizwa na wandishi wa habari katika kuelekea madhimisho ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani.
Mkuu wa Madaktari wakujitolea kutoka Chuo Kikuu cha Belgrade Prof. Ana Pucar akielezea juu ya umuhimu wa kutoa elimu ya Afya ya kinywa na meno kwa watoto walio shuleni katika Mkutano wa Waziri wa Afya uliofanyika Ofisini kwake Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga.
Hivyo makala Maadhimisho ya siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani kufanyika kesho
yaani makala yote Maadhimisho ya siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani kufanyika kesho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maadhimisho ya siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani kufanyika kesho mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/maadhimisho-ya-siku-ya-afya-ya-kinywa.html
0 Response to "Maadhimisho ya siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani kufanyika kesho"
Post a Comment