title : MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIRRO AKIWA ZIARANI KUTOKEA KIGOMA KWENDA KATAVI, AWAPA POLE WANANCHI WALIOPATA AJALI PINDI AKIWA SAFARINI
kiungo : MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIRRO AKIWA ZIARANI KUTOKEA KIGOMA KWENDA KATAVI, AWAPA POLE WANANCHI WALIOPATA AJALI PINDI AKIWA SAFARINI
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIRRO AKIWA ZIARANI KUTOKEA KIGOMA KWENDA KATAVI, AWAPA POLE WANANCHI WALIOPATA AJALI PINDI AKIWA SAFARINI
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro akikagua ajali iliyotokea kati ya roli aina ya fuso na basi la kampuni ya Adventure lenye no T 186 AKX, iliyokuwa ikitokea mkoani katavi kwenda mkoa wa Kigoma, ajali hiyo imetokea eneo la Mishamo barabara ya Kigoma – Mpanda mkoani Katavi wakati akitokea mkoa wa Kigoma alipokuwa na ziara ya kikazi siku mbili. Picha Na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro wa kwanza mkono wa kulia akiangalia ajali iliyotokea kati ya roli aina ya fuso na basi la kampuni ya Adventure lenye no T 186 AKX iliyokuwa ikitokea mkoani katavi kwenda Mkoa wa Kigoma, ajali hiyo imetokea eneo la Mishamo barabara ya Kigoma – Mpanda mkoani Katavi wakati akitokea mkoa wa Kigoma alipokuwa na ziara ya kikazi siku mbili.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro, alievaa nguo ya kijani akishilikiana na wananchi kupata ufumbuzi wa magari yaliokuwa yamepata ajali kati ya roli aina ya fuso na basi la kampuni ya Adventure lenye no T 186 AKX iliyokuwa ikitokea mkoani katavi kwenda mkoa wa Kigoma, ajali hiyo imetokea eneo la Mishamo barabara ya Kigoma – Mpanda mkoani Katavi wakati akitokea mkoa wa Kigoma alipokuwa na ziara ya kikazi siku mbili.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro, akipokelewa na maafisa wa Jeshi la Polisi mkoani katavi baada ya kuwasili mkoani humo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro akiagana na wananchi waliokuwa wamepa ajali baada ya kuhakikisha ufumbuzi wao wa kuondoka umepatikana, ajali hiyo iliyotokea kati ya roli aina ya fuso na basi la kampuni ya Adventure lenye no T 186 AKX iliyokuwa ikitokea mkoani katavi kwenda mkoa wa Kigoma, ajali hiyo imetokea eneo la Mishamo barabara ya Kigoma – Mpanda mkoani Katavi wakati akitokea mkoa wa Kigoma alipokuwa na ziara ya kikazi siku mbili.
Hivyo makala MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIRRO AKIWA ZIARANI KUTOKEA KIGOMA KWENDA KATAVI, AWAPA POLE WANANCHI WALIOPATA AJALI PINDI AKIWA SAFARINI
yaani makala yote MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIRRO AKIWA ZIARANI KUTOKEA KIGOMA KWENDA KATAVI, AWAPA POLE WANANCHI WALIOPATA AJALI PINDI AKIWA SAFARINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIRRO AKIWA ZIARANI KUTOKEA KIGOMA KWENDA KATAVI, AWAPA POLE WANANCHI WALIOPATA AJALI PINDI AKIWA SAFARINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mkuu-wa-jeshi-la-polisi-nchini-igp_14.html
0 Response to "MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIRRO AKIWA ZIARANI KUTOKEA KIGOMA KWENDA KATAVI, AWAPA POLE WANANCHI WALIOPATA AJALI PINDI AKIWA SAFARINI"
Post a Comment