LEO NI SIKU YA EQUINOX. JE WAJUA MAANA YA SIKU HII?

LEO NI SIKU YA EQUINOX. JE WAJUA MAANA YA SIKU HII? - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LEO NI SIKU YA EQUINOX. JE WAJUA MAANA YA SIKU HII?, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LEO NI SIKU YA EQUINOX. JE WAJUA MAANA YA SIKU HII?
kiungo : LEO NI SIKU YA EQUINOX. JE WAJUA MAANA YA SIKU HII?

soma pia


LEO NI SIKU YA EQUINOX. JE WAJUA MAANA YA SIKU HII?



Leo tarehe 21 mwezi March katika elimu ya Jiografia ni kwamba Jua lipo katika mstari wa Ikweta ambao unaigawa dunia katika sehemu mbili yaani hemispheres kwa maana ya upande wa Kaskazini na Kusini ... Northern Hemisphere and  Southern hemispheres . Kwa maana hiyo leo tarehe 21 mwezi Machi na tarehe 23 mwezi September jua linakuwa katika mstari wa Ikweta ambao unaigawa dunia katika sehemu mbili yaani Kaskazini na Kusini.
Hivyo leo sehemu zote duniani urefu wa mchana na usiku unalingana. Yaani kwa maana nyingine sehemu zote duniani zinapata urefu sawa wa mchana na usiku. Hali hii kijiografia inajulikana kama Equinox yaani maana yake equal night and equal day.

Hii inamaanisha nyakati zingine zote ukitoa hizi siku mbili yaani tarehe 21 Machi na 23 Septemba urefu wa usiku na mchana hutofautiana.  Nakutakia siku njema ya "Equinox" ambayo sehemu zote duniani urefu wa usiku na mchana unalingana. 


Hivyo makala LEO NI SIKU YA EQUINOX. JE WAJUA MAANA YA SIKU HII?

yaani makala yote LEO NI SIKU YA EQUINOX. JE WAJUA MAANA YA SIKU HII? Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LEO NI SIKU YA EQUINOX. JE WAJUA MAANA YA SIKU HII? mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/leo-ni-siku-ya-equinox-je-wajua-maana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "LEO NI SIKU YA EQUINOX. JE WAJUA MAANA YA SIKU HII?"

Post a Comment