title : ELIMU MUHIMU KWA UHIFADHI :JE WAJUA ADHABU NA FAINI YA KUGONGA WANYAMAPORI HIFADHINI?.
kiungo : ELIMU MUHIMU KWA UHIFADHI :JE WAJUA ADHABU NA FAINI YA KUGONGA WANYAMAPORI HIFADHINI?.
ELIMU MUHIMU KWA UHIFADHI :JE WAJUA ADHABU NA FAINI YA KUGONGA WANYAMAPORI HIFADHINI?.
Muhimu kufahamu kwamba adhabu na faini ya kugonga wanyamapori hifadhini
1: Tembo = USD 15,000 au shilingi Milioni 34.6
2: Twiga = USD 15,000 au shilingi Milioni 34.6
3: Simba = USD 4,900 au shilingi Milioni 11.3
4: Chui = USD 3,500 au shilingi Milioni 8
5: Nyati =USD 1900 sawa na shilingi milioni 4.2
6 :Pundamilia = USD 1200 au shilingi milioni 2.7
7: Fisi = USD 550 au shilingi milioni 1.2
8: Ngiri = USD 450 au shilingi milioni 1
9: Swala = USD 390 au shilingi Laki 9
10: Nyani = USD 110 au shilingi Laki 254
11: Ukipata ajali hifadhini shilingi 200,000 na ukizidisha mwendo faini yake shilingi 30,000
Ni muhimu kuwa na tahadhari pindi uingiapo au upitapo kwenye maeneo ya hifadhi, Day speed ni 70km/h na night speed ni 50km/h.
Kuwa makini, chukua tahadhari
Hivyo makala ELIMU MUHIMU KWA UHIFADHI :JE WAJUA ADHABU NA FAINI YA KUGONGA WANYAMAPORI HIFADHINI?.
yaani makala yote ELIMU MUHIMU KWA UHIFADHI :JE WAJUA ADHABU NA FAINI YA KUGONGA WANYAMAPORI HIFADHINI?. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ELIMU MUHIMU KWA UHIFADHI :JE WAJUA ADHABU NA FAINI YA KUGONGA WANYAMAPORI HIFADHINI?. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/elimu-muhimu-kwa-uhifadhi-je-wajua.html
0 Response to "ELIMU MUHIMU KWA UHIFADHI :JE WAJUA ADHABU NA FAINI YA KUGONGA WANYAMAPORI HIFADHINI?."
Post a Comment