title : BREAKING NEWZZZZ: RUFAA DHIDI YA FREEMAN MBOWE NA ESTER MATIKO YARUDISHWA MAHAKAMA KUU
kiungo : BREAKING NEWZZZZ: RUFAA DHIDI YA FREEMAN MBOWE NA ESTER MATIKO YARUDISHWA MAHAKAMA KUU
BREAKING NEWZZZZ: RUFAA DHIDI YA FREEMAN MBOWE NA ESTER MATIKO YARUDISHWA MAHAKAMA KUU
MAHAKAMA ya Rufani imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko.
Hata hivyo, mahakama hiyo imeelekeza jalada la kesi hiyo kurudishwa Mahakama Kuu kwa ajili ya kusikiliza rufaa ya Mbowe kuhusu kufutiwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Novemba 23, 2018.
Hivyo makala BREAKING NEWZZZZ: RUFAA DHIDI YA FREEMAN MBOWE NA ESTER MATIKO YARUDISHWA MAHAKAMA KUU
yaani makala yote BREAKING NEWZZZZ: RUFAA DHIDI YA FREEMAN MBOWE NA ESTER MATIKO YARUDISHWA MAHAKAMA KUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZZ: RUFAA DHIDI YA FREEMAN MBOWE NA ESTER MATIKO YARUDISHWA MAHAKAMA KUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/breaking-newzzzz-rufaa-dhidi-ya-freeman.html
0 Response to "BREAKING NEWZZZZ: RUFAA DHIDI YA FREEMAN MBOWE NA ESTER MATIKO YARUDISHWA MAHAKAMA KUU"
Post a Comment