title : WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA
kiungo : WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA
WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa malori nchini (TATOA) Bw, Elius Lukumay hayuko pichani katika kikao kazi cha kujadiliana namna bora ya kufuata sheria ya kudhibiti uzito wa magari ili kulinda barabara nchini kilichofanyika mjini Dodoma leo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe akisisitiza jambo katika kikao cha wataalam wa Wizara yake na viongozi wa TATOA kilichofanyika mjini Dodoma, (kulia) ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mh. Elias Kwandikwa na (kushoto) ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Atashasta Nditie.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe akijadiliana jambo na Makamu Mwenyekiti wa TATOA Bw, Elius Lukumay katika kikao cha viongozi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na TATOA cha kujadiliana namna bora ya kufuata sheria ya kudhibiti uzito wa magari ili kulinda barabara na madaraja hapa nchini.
Hivyo makala WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA
yaani makala yote WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waziri-eng-kamwelwe-azungumza-na-tatoa.html
0 Response to "WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA"
Post a Comment