PWANI YAPOKEA BILIONI 4.5 KWA AJILI YA UJENZI WA HOSPITAL TATU ZA WILAYA -RC NDIKILO

PWANI YAPOKEA BILIONI 4.5 KWA AJILI YA UJENZI WA HOSPITAL TATU ZA WILAYA -RC NDIKILO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PWANI YAPOKEA BILIONI 4.5 KWA AJILI YA UJENZI WA HOSPITAL TATU ZA WILAYA -RC NDIKILO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PWANI YAPOKEA BILIONI 4.5 KWA AJILI YA UJENZI WA HOSPITAL TATU ZA WILAYA -RC NDIKILO
kiungo : PWANI YAPOKEA BILIONI 4.5 KWA AJILI YA UJENZI WA HOSPITAL TATU ZA WILAYA -RC NDIKILO

soma pia


PWANI YAPOKEA BILIONI 4.5 KWA AJILI YA UJENZI WA HOSPITAL TATU ZA WILAYA -RC NDIKILO


NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA .

KATIKA kukabiliana na changamoto ya utoaji wa huduma ya afya kwa wananchi, serikali ya awamu ya tano inajenga hospitali za wilaya tatu za kisasa , halmashauri ya Kibaha Mjini, Kibaha Vijijini na Kibiti mkoani Pwani ambazo zitagharimu kiasi cha sh. bilioni 4.5. 

Akizungumza wakati alipotembelea ujenzi wa hospital ya halmashauri ya Mji wa Kibaha ,Lulanzi kata ya Pichandege, kwenye ziara yake inayoendelea kukagua miradi ya maendeleo, mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo alisema kukamilika kwa hospital hizo, kutaondoa kero ya kutembea umbali mrefu kufuata matibabu. 

“Kila hospital inatarajiwa kugharimu bilioni 1.5 ,matarajio yetu ni kuona ujenzi unakamilika na sio kuanza mradi na kisha kusuasua “alieleza Ndikilo.
Aidha ameelezea, fedha zote zinazoelekezwa katika miradi hiyo muhimu zitumike kwa wakati na kwa matumizi lengwa bila kuziacha kubaki viporo. 

Hata hivyo Ndikilo, aliwaasa wahandisi wa halmashauri ya Kibaha Mji na wa serikali ya mkoa huo kujiwekea utaratibu wa kutoka maofisi kwenda kutembelea miradi pasipo kusubiria ziara ama kiongozi kutembelea ndipo nao watoke maofisini. 

Nae mkuu wa wilaya ya Kibaha, Assumpter Mshama alitoa rai kwa jamii kushirikiana na serikali katika kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya elimu na kujitolea kwenye miradi ya kimaendeleo. 


Diwani wa kata ya Picha ya ndege Robert Machumbe alieleza, nia ya serikali ni kuwaletea wananchi mabadiliko chanya ya kimaendeleo ambapo amefafanua kwamba, eneo hilo linalojengwa hospital lina ukubwa wa hekari 25 lipo eneo linalojengwa shule ya sekondari Lulanzi lenye ukubwa wa hekari 11.7


Hivyo makala PWANI YAPOKEA BILIONI 4.5 KWA AJILI YA UJENZI WA HOSPITAL TATU ZA WILAYA -RC NDIKILO

yaani makala yote PWANI YAPOKEA BILIONI 4.5 KWA AJILI YA UJENZI WA HOSPITAL TATU ZA WILAYA -RC NDIKILO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PWANI YAPOKEA BILIONI 4.5 KWA AJILI YA UJENZI WA HOSPITAL TATU ZA WILAYA -RC NDIKILO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/pwani-yapokea-bilioni-45-kwa-ajili-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "PWANI YAPOKEA BILIONI 4.5 KWA AJILI YA UJENZI WA HOSPITAL TATU ZA WILAYA -RC NDIKILO"

Post a Comment