title : WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU
kiungo : WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU
WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU
Mkurugenzi wa Mazingira wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa William Mwegoha akimkaribisha Mgeni Rasmi kufungua warsha ya Wadau kwa ajili ya kupitia rasimu ya Ripoti ya hali ya Wachimbaji wadogo wa dhahabu iliyofanyika jijini Dodoma.
Mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Paul Sangawe, akisoma hotuba ya ufunguzi wa Warsha hiyo ikiwa anamuwakilisha Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais. Waliokaa kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa William Mwegoha na kushoto ni Mkurugenz i Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Magdalena Mtenga.
Sehemu ya Washiriki waliohudhuria Warsha hiyo ya kupitia rasimu ya Ripoti ya Wachimbaji wadogo wa dhahabu.
Mgeni Rasmi akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wote waliohudhuria Warsha hiyo iliyofanyika jijini Dodoma.
Hivyo makala WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU
yaani makala yote WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/warsha-ya-wadau-kwa-ajili-ya-kupitia.html
0 Response to "WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU"
Post a Comment