WAZIRI MKUU ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU UWEKEZAJI NCHINI

WAZIRI MKUU ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU UWEKEZAJI NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU UWEKEZAJI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU UWEKEZAJI NCHINI
kiungo : WAZIRI MKUU ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU UWEKEZAJI NCHINI

soma pia


WAZIRI MKUU ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU UWEKEZAJI NCHINI

Na Said Mwishehe, Blog ya jamii

WAZIRI Mkuu Kassim Majali ametoa msimamo wa Serikali ya Awamu ya Tano kuwa mkakati wake ni kuendelea kuhamsisha uwekezaji nchini huku akitoa mwito kwa wawekezaji kuja kuwekeza katika maeneo mbalimbali kwani mazingira ya uwekezaji ni salama.

Ametoa kauli hiyo leo Februari 7 , 2019 Bungeni Mjini Dodoma wakati anajibu maswali ya papo kwa papo ambapo moja ya swali aliloulizwa ilikuwa ni kufahamu msimamo wa Serikali kuhusu wawekezaji nchini ambapo alianza kujibu kwa kueleza kuwa msimamo wa Serikali ni kuendelea kuhamasisha wawakezaji kuwekeza nchini.

"Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk.John Magufuli imeendelea kuwahamasisha wawakezaji wakiwamo wa nje kuja kuwekeza nchini na ndio maana mazingira mazuri ya uwekezaji yamekuwa yakiandaliwa nchini kwetu.Hivyo msimamo wa Serikali ni kuendelea kuwahamasisha wawakezaji waje kuwekeza.

"Mazingira ya kuwekeza katika nchi yetu ni mazuri na yako salama salama sana.Tutanaahidi tutaendelea kulinda wawekezaji mbalimbali ambao wamewekeza nchini wakiwamo waliwekeza kwa kujenga viwanda ndani ya nchi yetu,"amesema .

Waziri Mkuu huku akisisitiza jukumu la Serikali ni kuendelea kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji.Wakati huo huo Waziri Mkuu aliulizwa ni hatua gani ambazo Serikali inachukua katika kuboresha mazingira ya biashara nchini, ambapo amejibu kuwa zipo hatua mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa kuhakikisha mazingira ya ufanyaji biashara unakuwa rafikia.

Amefafanua hata uamuzi wa Rais Dk.John Magufuli kugawa vitambulisho kwa ajili ya wafayabiashara wadogowadogo ni mkakati wa kuendelea kuweka mazingira mazuri ya wananchi kufanya biashara bila kusumbuliwa."Kama nilivyojibu kuhusu mazingira ya uwekezaji yaliyopo nchini, ndivyo ambavyo Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya ufanyaji wa biashara.Kuna mambo mengi yamekuwa yakifanyika kuboresha mazingira ya biashara nchini kwetu,"amesema Waziri Mkuu.



Hivyo makala WAZIRI MKUU ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU UWEKEZAJI NCHINI

yaani makala yote WAZIRI MKUU ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU UWEKEZAJI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU UWEKEZAJI NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waziri-mkuu-atoa-msimamo-wa-serikali.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MKUU ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU UWEKEZAJI NCHINI"

Post a Comment