title : WANAOMKEJELI RAIS MITANDAON KUKAMATWA
kiungo : WANAOMKEJELI RAIS MITANDAON KUKAMATWA
WANAOMKEJELI RAIS MITANDAON KUKAMATWA
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameliagiza Jeshi la Polisi nchini Tanzania kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) kuwasaka watu wanaotoa maneno ya uchochezi dhidi ya Rais John Magufuli na Serikali.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Februari 13, 2019 jijini Arusha Lugola amesema wanaotoa maneno ya uchochezi kupitia simu zao, Blogs na makundi ya WhatsApp watasakwa popote na kuchukuliwa hatua za kisheria.
“Watanzania tumieni vizuri mitandao ya kijamii, msitumie kuvuruga amani ya nchi, usijidanganye unaweza kufanya uchochezi na usikamatwe,” amesema akidai watu hao wanamchonganisha Rais Magufuli na wananchi.
“Kama unatoa kauli za kumtukana Rais na uchochezi ina maana kuna watu nyuma wanakutuma,” amesema Lugola.
Hivyo makala WANAOMKEJELI RAIS MITANDAON KUKAMATWA
yaani makala yote WANAOMKEJELI RAIS MITANDAON KUKAMATWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAOMKEJELI RAIS MITANDAON KUKAMATWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/wanaomkejeli-rais-mitandaon-kukamatwa.html
0 Response to "WANAOMKEJELI RAIS MITANDAON KUKAMATWA"
Post a Comment