title : Makamu wa Rais wa Jamuhuri hya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Afungua Mkutano wa Baraza la Biashara Afrika Mashariki.
kiungo : Makamu wa Rais wa Jamuhuri hya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Afungua Mkutano wa Baraza la Biashara Afrika Mashariki.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri hya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Afungua Mkutano wa Baraza la Biashara Afrika Mashariki.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Biashara la Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Biashara la Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa Mkutano huo wa Ufunguzi wa Baraza la Biashara la Afrika Mashariki wakimsikiliza Makamu wa Rais Mhe Samia akifungua mkutano huo katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Da es Salaam. (Picha na OMR)
Hivyo makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri hya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Afungua Mkutano wa Baraza la Biashara Afrika Mashariki.
yaani makala yote Makamu wa Rais wa Jamuhuri hya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Afungua Mkutano wa Baraza la Biashara Afrika Mashariki. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri hya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Afungua Mkutano wa Baraza la Biashara Afrika Mashariki. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/makamu-wa-rais-wa-jamuhuri-hya-muungano.html
0 Response to "Makamu wa Rais wa Jamuhuri hya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Afungua Mkutano wa Baraza la Biashara Afrika Mashariki."
Post a Comment