title : Waajiriwa Wapya wa Idara ya Elimu Mbadala Wapata Mafunzo ya Uwajibikaji Kisiwani Pemba.
kiungo : Waajiriwa Wapya wa Idara ya Elimu Mbadala Wapata Mafunzo ya Uwajibikaji Kisiwani Pemba.
Waajiriwa Wapya wa Idara ya Elimu Mbadala Wapata Mafunzo ya Uwajibikaji Kisiwani Pemba.
Mratibu wa Kisomo kutoka Idara ya Elimu mbadala na Watu wazima Wilaya ya Micheweni Pemba, Bakar Khamis, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Waratibu wa Elimu Mbadala na Watu wazima Pemba ,Haji Juma Haji , ili kuzungunza na Waaajiriwa wapya wa Idara ya Elimu Mbadala na watu wazima huko katika Kituo cha Elimu Mbadala Wingwi Wilaya ya Micheweni .
Mkuu w Waratibu wa Madarasa ya Kisomo kutoka Idara ya Elimu mbadala na Watu wazima Pemba, Haji Juma Haji, akizungumza machache juu ya dhamira ya mkutano huo na hatimae kumkaribisha Kaimu Mratibu Idara ya Elimu Mbadala na watu wazima Pemba , kuzungumza na Waajiriwa wapya .
Kaimu Mratibu Idara ya Elimu Mbadala na watu wazima Pemba, Harith Bakar Waziri, akizungumza na Waajiriwa wapya wa Kituo cha Elimu Mbadala na Watu Wazima kilichopo Wingwi Wilaya ya Micheweni -Pemba.
PIicha na Hanifa Salim - Pemba.
Hivyo makala Waajiriwa Wapya wa Idara ya Elimu Mbadala Wapata Mafunzo ya Uwajibikaji Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Waajiriwa Wapya wa Idara ya Elimu Mbadala Wapata Mafunzo ya Uwajibikaji Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waajiriwa Wapya wa Idara ya Elimu Mbadala Wapata Mafunzo ya Uwajibikaji Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waajiriwa-wapya-wa-idara-ya-elimu.html
0 Response to "Waajiriwa Wapya wa Idara ya Elimu Mbadala Wapata Mafunzo ya Uwajibikaji Kisiwani Pemba."
Post a Comment