UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR

UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR
kiungo : UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR

soma pia


UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR

Kikundi cha Utamaduni cha vijana Ngoma kutoka Amani Mkoa kikitumbuiza katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Afisa mipango Wilaya ya Kati Ali Omar Makame akitoa hotuba ya makaribisho katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kati Mashavu Saidi Sukwa akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhurika katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR

yaani makala yote UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/uzinduzi-wa-utiaji-dawa-majumbani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR"

Post a Comment