Uchaguzi Nigeria 2019: Upigaji kura umeahirishwa kwa wiki moja

Uchaguzi Nigeria 2019: Upigaji kura umeahirishwa kwa wiki moja - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uchaguzi Nigeria 2019: Upigaji kura umeahirishwa kwa wiki moja, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uchaguzi Nigeria 2019: Upigaji kura umeahirishwa kwa wiki moja
kiungo : Uchaguzi Nigeria 2019: Upigaji kura umeahirishwa kwa wiki moja

soma pia


Uchaguzi Nigeria 2019: Upigaji kura umeahirishwa kwa wiki moja

Uchaguzi wa urais na ubunge nchini Nigeria umesukumwa mbele kwa wiki moja.

Tume huru ya kitaifa ya uchaguzi (INEC) ilitangaza hatua hiyo saa tano tu kabla ya wapiga kura kuelekea katika vituo vya upigaji kura hii leo Jumamosi.

"haiwezekani kuendelea na zoezi la uchaguzi kama ilivyopangwa," mwenyekiti wa tume hiyo Mahmood Yakubu amesema, akitaja hitilafu za kimipango.

Amesema uamuzi huo mgumu umehitajika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa huru na haki.Uchaguzi wa urais na ubunge umepangiwa sasa kufanyika Jumamosi ijayo Februari 23.

Uchaguzi wa Ugavana, wawakilishi wa majimbo na mabaraza ya manispaa yamepangiwa kufanyika Jumamosi Machi 9.Uamuzi huo umetolewa baada ya mkutano wa dharura katika makao makuu ya tume hiyo ya uchaguzi katika mji mkuu Abuja.

Ni kwanini Uchaguzi umeahirishwa?

Bwana Yakubu amesema uamuzi huo umechukuliwa baada ya 'ukaguzi wa makini' wa 'mpango wa namna uchaguzi utakavyofanyika', akiongeza kwamba kuna 'jitihada kubwa za kuhakikisha kuna uchaguzi wa huru, haki na wa kuaminika'.

Amesema ni muhimu kuchelewesha uchaguzi huo kuipa tume nafasi ya kukabiliana namasuala muhimu na pia "kusalia na hadhi katika uchaguzi", lakini hakutoa ufafanuzi zaidi.




Hivyo makala Uchaguzi Nigeria 2019: Upigaji kura umeahirishwa kwa wiki moja

yaani makala yote Uchaguzi Nigeria 2019: Upigaji kura umeahirishwa kwa wiki moja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uchaguzi Nigeria 2019: Upigaji kura umeahirishwa kwa wiki moja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/uchaguzi-nigeria-2019-upigaji-kura.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Uchaguzi Nigeria 2019: Upigaji kura umeahirishwa kwa wiki moja"

Post a Comment