title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA KUTOKA UTURUKI OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA
kiungo : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA KUTOKA UTURUKI OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA KUTOKA UTURUKI OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wafanyabishara kutoka Kampuni ya MNG ya nchini Uturuki walipomtembelea mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Rais wa Kampuni ya MNG ya nchini Uturuki Bw. Mehment Nazif Gunal akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wakati walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge (kulia) katika picha ya pamoja na Rais wa Kampuni ya MNG ya nchini Uturuki Bw. Mehment Nazif Gunal mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Wafanyabishara kutoka Kampuni ya MNG ya nchini Uturuki mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Jijini Dodoma.
PICHA NA BUNGE
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA KUTOKA UTURUKI OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA KUTOKA UTURUKI OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA KUTOKA UTURUKI OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/spika-ndugai-akutana-na-kuzungumza-na_5.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA KUTOKA UTURUKI OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA"
Post a Comment