title : NGULI WA SOKA AREJEA CHELSEA.
kiungo : NGULI WA SOKA AREJEA CHELSEA.
NGULI WA SOKA AREJEA CHELSEA.
Gianfranco Zola.
MWAMBA WA HABARI.Mchezaji Nguli wa Chelsea, Gianfranco Zola hatimaye amerejea kwenye kazi ya ukocha ambapo sasa atakuwa msaidizi wa Maurizio Sarri katika kikosi hicho cha Chelsea.
Zola, ambaye aliichezea timu hiyo kwa miaka saba na kufunga mabao 69 kati ya mwaka 1996 hadi 2003, amesha-anza majukumu na wakati akikaribishwa na klabu hiyo yalitumika maneno ‘Karibu Nyumbani Gianfranco Zola’.
Wawili hao wamepewa nafasi hiyo baada ya Antonio Conte kutimuliwa kazi Ijumaa iliyopita.
Hivyo makala NGULI WA SOKA AREJEA CHELSEA.
yaani makala yote NGULI WA SOKA AREJEA CHELSEA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NGULI WA SOKA AREJEA CHELSEA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/nguli-wa-soka-arejea-chelsea.html
0 Response to "NGULI WA SOKA AREJEA CHELSEA."
Post a Comment