S/M MAENDELEO YAKABILIWA NA MSONGAMANO MKUBWA WA WANAFUNZI ZAIDI YA 200 KATIKA DARASA MOJA-MKAMA

S/M MAENDELEO YAKABILIWA NA MSONGAMANO MKUBWA WA WANAFUNZI ZAIDI YA 200 KATIKA DARASA MOJA-MKAMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa S/M MAENDELEO YAKABILIWA NA MSONGAMANO MKUBWA WA WANAFUNZI ZAIDI YA 200 KATIKA DARASA MOJA-MKAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : S/M MAENDELEO YAKABILIWA NA MSONGAMANO MKUBWA WA WANAFUNZI ZAIDI YA 200 KATIKA DARASA MOJA-MKAMA
kiungo : S/M MAENDELEO YAKABILIWA NA MSONGAMANO MKUBWA WA WANAFUNZI ZAIDI YA 200 KATIKA DARASA MOJA-MKAMA

soma pia


S/M MAENDELEO YAKABILIWA NA MSONGAMANO MKUBWA WA WANAFUNZI ZAIDI YA 200 KATIKA DARASA MOJA-MKAMA

Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha.

SHULE ya msingi Maendeleo ,kata ya Mailmoja Kibaha, mkoani Pwani, inakabiliwa na msongamano mkubwa wa wanafunzi ambapo darasa moja lina wanafunzi 284.

Changamoto hiyo aliitaja ,mwalimu mkuu wa shule hiyo Miriam Mkama wakati mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kata ya Maili Moja Mathayo Mkayala alipofanya ziara kutembelea miradi ya elimu na barabara akiwa na kamati ya siasa ya kata hiyo .

Alisema ,shule hiyo ina wanafunzi wengi ikiwemo wa awali wanafunzi 153, la kwanza wako 284 la pili wako 209, tatu wako 210, la nne wako 171, la tano wako 177, la sita wako 175, saba 158 na memkwa wako sita.

Alitaja changamoto nyingine ,ni upungufu wa vyoo ambapo wavulana 792 wanatumia vyoo vitano mapungufu 26 upande wa wasichana 756 wanatumia vyoo vinne .

Nae mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Maili Moja ,Mathayo Mkayala alisema ,kutokana na hali hiyo kuna kila sababu ya wananchi wa kata ya maili Moja kusaidia ujenzi wa madarasa mapya ili kupunguza msongamano huo ambao unahatarisha wanafunzi kutoweza kusoma vizuri.

"Wanafunzi wamejazana hata namna ya kufundishwa inakuwa ni ngumu hili ni tatizo hivyo wananchi wanapaswa kuliangalia suala hili kwa upekee kwa kujenga madarasa mengine,” alisema Mkayala.

Awali, diwani wa Kata ya Maili Moja ,Ramadhan Lutambi alisema ,changamoto ni kubwa na wameanza mchakato wa kuwaomba wazazi na wananchi kujitolea matofali matatu yamefika 980 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ambapo kwa sasa wameanza darasa moja linalojengwa na wananchi.

Kamati hiyo ya siasa ya kata ya Maiali Moja ilitembelea baadhi ya miradi ya ujenzi wa shule ya msingi Muheza, ujenzi wa madarasa matatu shule ya msingi maendeleo, ujenzi wa vyoo shule ya sekondari Bundikani na ujenzi wa barabara toka shule ya Bundikani kwenda Mpakani.


Hivyo makala S/M MAENDELEO YAKABILIWA NA MSONGAMANO MKUBWA WA WANAFUNZI ZAIDI YA 200 KATIKA DARASA MOJA-MKAMA

yaani makala yote S/M MAENDELEO YAKABILIWA NA MSONGAMANO MKUBWA WA WANAFUNZI ZAIDI YA 200 KATIKA DARASA MOJA-MKAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala S/M MAENDELEO YAKABILIWA NA MSONGAMANO MKUBWA WA WANAFUNZI ZAIDI YA 200 KATIKA DARASA MOJA-MKAMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/sm-maendeleo-yakabiliwa-na-msongamano.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "S/M MAENDELEO YAKABILIWA NA MSONGAMANO MKUBWA WA WANAFUNZI ZAIDI YA 200 KATIKA DARASA MOJA-MKAMA"

Post a Comment