title : Serikali imetoa wito kwa Benki ya Biashara nchini NBC kupanua wigo katika utoaji wa huduma zake
kiungo : Serikali imetoa wito kwa Benki ya Biashara nchini NBC kupanua wigo katika utoaji wa huduma zake
Serikali imetoa wito kwa Benki ya Biashara nchini NBC kupanua wigo katika utoaji wa huduma zake
Serikali imetoa wito kwa Benki ya Biashara nchini NBC kupanua wigo katika utoaji wa huduma zake hapa nchini ili kuwawezesha wananchi wengi zaidi kuhifadhi fedha zao katika eneo salama.
Akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Theobald Sabi ofisini kwake jijini Dsm Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa amesema wakati serikali ikiendelea kuhamasisha wananchi kuongeza nguvu katika sekta ya kilimo, taasisi za fedha hazinabudi kusogeza huduma zao karibu na wanchi ili waweze kutunza fedha zao katika hali ya usalama badala ya kuhifadhi majumbani.
Aidha Waziri Mkuu Mhe Majaliwa ameipongeza benki ya NBC kwa kuunga mkono juhudi za Serikali za kuwawezesha wananchi kupitia mikopo kwa wajisriamali wadogo ambayo inawawezesha kuongeza mitaji yao ya biashara mbalimbali.
Katika hatua nyengine Mkurugenzi huyo wa NBC imemkabidhi Waziri Mkuu hundi yenye thamani ya shilingi 11,270,00 zitakazosaidia katika ujenzi wa kituo cha polisi wilani Ruangwa.
Hivyo makala Serikali imetoa wito kwa Benki ya Biashara nchini NBC kupanua wigo katika utoaji wa huduma zake
yaani makala yote Serikali imetoa wito kwa Benki ya Biashara nchini NBC kupanua wigo katika utoaji wa huduma zake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Serikali imetoa wito kwa Benki ya Biashara nchini NBC kupanua wigo katika utoaji wa huduma zake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/serikali-imetoa-wito-kwa-benki-ya.html
0 Response to "Serikali imetoa wito kwa Benki ya Biashara nchini NBC kupanua wigo katika utoaji wa huduma zake"
Post a Comment