title : RUGE BADO TULIKUWA TUNAMUHITAJI-DKT HASSAN ABBAS
kiungo : RUGE BADO TULIKUWA TUNAMUHITAJI-DKT HASSAN ABBAS
RUGE BADO TULIKUWA TUNAMUHITAJI-DKT HASSAN ABBAS
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali Dkt Hassan Abbas akizungumza na waandishi habari wakati alipokwenda kutoa pole ya Msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji Vipindi wa Clouds Medio Group,Ruge Mutahaba aliyefariki Jana nchini Afrika Kusini. Dkt Abbas amesema Ruge alikuwa kijana wa pekee aliyetoa mchango wake ambao umeweza kuonekana katika kusaidia vijana wengi nchini.Amesema kuwa vijana waliobaki nao waoneshe njia zilizoachwa na Ruge kwa kuamini katika kusaidia wengine. Amesema Ruge ametutoka lakini tulikuwa na muhitaji lakini kazi ya Mungu haina makosa.
Hivyo makala RUGE BADO TULIKUWA TUNAMUHITAJI-DKT HASSAN ABBAS
yaani makala yote RUGE BADO TULIKUWA TUNAMUHITAJI-DKT HASSAN ABBAS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RUGE BADO TULIKUWA TUNAMUHITAJI-DKT HASSAN ABBAS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/ruge-bado-tulikuwa-tunamuhitaji-dkt.html
0 Response to "RUGE BADO TULIKUWA TUNAMUHITAJI-DKT HASSAN ABBAS"
Post a Comment