title : RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI WA KILIMO NA MUSUALA YA ARDHI WA MISRI IKULU ZANZIBAR
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI WA KILIMO NA MUSUALA YA ARDHI WA MISRI IKULU ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI WA KILIMO NA MUSUALA YA ARDHI WA MISRI IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Jamuhuri ya Kiarabu wa Watu wa Misri.Dkt.Ezzaldin O.Abusteit, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzi, akiongozana na Ujumbe wake na kulia Balozi wa Misri Nchini Tanzania Mhe. Gaber Mohamed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Jamuhuri ya Watu wa Misri. Dkt. Ezzaldin.O.Abusteit, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi Jamuhuri ya Kiarabu ya Watu wa Misri.Dkt. Ezzaldin O.Abusteit, wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.3-2-2019
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Jamuhuri ya Kiaranu ya Watu wa Misri Dkt. Ezzaldin .O. Abusteit, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.3-2-2019, anayefuata Balozi wa Misri Nchini Tanzania Mhe. Gaber Mohamed.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI WA KILIMO NA MUSUALA YA ARDHI WA MISRI IKULU ZANZIBAR
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI WA KILIMO NA MUSUALA YA ARDHI WA MISRI IKULU ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI WA KILIMO NA MUSUALA YA ARDHI WA MISRI IKULU ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rais-wa-zanzibar-dkshein-azungumza-na.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI WA KILIMO NA MUSUALA YA ARDHI WA MISRI IKULU ZANZIBAR"
Post a Comment