title : RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE WATOA POLE KWA FAMILIA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT. HAMIS KIGWANGALA ALIYEFIWA NA MTOTO WAKE. JIJINI DAR ES SALAAM. FEBRUARI 22, 2019
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE WATOA POLE KWA FAMILIA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT. HAMIS KIGWANGALA ALIYEFIWA NA MTOTO WAKE. JIJINI DAR ES SALAAM. FEBRUARI 22, 2019
RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE WATOA POLE KWA FAMILIA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT. HAMIS KIGWANGALA ALIYEFIWA NA MTOTO WAKE. JIJINI DAR ES SALAAM. FEBRUARI 22, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa pole na Dkt. Bayoum Kigwangala ( Mke wa Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Kigwangala), pamoja na Bi Hawa Mushi na Bi. Bagaile Bakari nyumbani kwa Waziri huyo Victoria Jijini Dar es salaam, kufuatia kifo cha Mtoto wake aitwaye Zul Hamis Kigwangala Kilichotokea Februari 21,2019 katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (Muhimbili) Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE WATOA POLE KWA FAMILIA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT. HAMIS KIGWANGALA ALIYEFIWA NA MTOTO WAKE. JIJINI DAR ES SALAAM. FEBRUARI 22, 2019
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE WATOA POLE KWA FAMILIA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT. HAMIS KIGWANGALA ALIYEFIWA NA MTOTO WAKE. JIJINI DAR ES SALAAM. FEBRUARI 22, 2019 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE WATOA POLE KWA FAMILIA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT. HAMIS KIGWANGALA ALIYEFIWA NA MTOTO WAKE. JIJINI DAR ES SALAAM. FEBRUARI 22, 2019 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rais-dkt-magufuli-na-mkewe-watoa-pole_22.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE WATOA POLE KWA FAMILIA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT. HAMIS KIGWANGALA ALIYEFIWA NA MTOTO WAKE. JIJINI DAR ES SALAAM. FEBRUARI 22, 2019"
Post a Comment