AFISA TAWALA WA WILAYA YA KISARAWE APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA RUSHWA

AFISA TAWALA WA WILAYA YA KISARAWE APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA RUSHWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AFISA TAWALA WA WILAYA YA KISARAWE APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA RUSHWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AFISA TAWALA WA WILAYA YA KISARAWE APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA RUSHWA
kiungo : AFISA TAWALA WA WILAYA YA KISARAWE APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA RUSHWA

soma pia


AFISA TAWALA WA WILAYA YA KISARAWE APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA RUSHWA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii

TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Kisarawe, Mkoani Pwani imemfikisha Mahakamani John Mwendamaka, Afisa Tawala Wilaya ya Kisarawe kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa kiasi cha shilingi milioni mbili (TZS 2,000,000/=) kinyume ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Kifungu cha 15(1) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na. 11/2007.

John Mwendamaka alifunguliwa kesi ya Jinai Namba 22 ya mwaka 2019 akiwa Afisa Tawala katika ofisi ya Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe.

Akisoma mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kisarawe Devotha Kisoka, Mwendesha Mashtaka kutoka TAKUKURU, Naftali Mnzava ameieleza Mahakama kwamba mshtakiwa alitenda kosa la kuomba rushwa ya kiasi cha shilingi milioni mbili (TZS2,000,000/=) kutoka kwa mtoa taarifa ili aweze kumsaidia mdogo wake kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa, jambo ambalo ni kosa kisheria kinyume na Kifungu cha 15(1) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na. 11/2007.

Mnzava ameieleza Mahakama kwamba mshtakiwa alipokea rushwa ya kiasi cha shilingi za kitanzania milioni mbili (TZS 2,000,000/=) kutoka kwa mtoa taarifa, jambo ambalo pia ni kosa kisheria kinyume na kifungu cha 15(1) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na. 11/2007.

Mshtakiwa amekana makosa yote mawili na dhamana ilikuwa wazi, hivyo mshatakiwa amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana. Kesi hii itakuja kwa ajili ya hoja za awali tarehe 05/03/2019.

Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Pwani, Bi Suzana Raymond amewaasa wananchi wote kufuata taratibu kanuni na Sheria za nchi ili kuweza kwenda na kasi ya awamu ya tano chini ya Rais wetu Mh Dr.John Pombe Magufuli. 


Hivyo makala AFISA TAWALA WA WILAYA YA KISARAWE APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA RUSHWA

yaani makala yote AFISA TAWALA WA WILAYA YA KISARAWE APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA RUSHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AFISA TAWALA WA WILAYA YA KISARAWE APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA RUSHWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/afisa-tawala-wa-wilaya-ya-kisarawe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AFISA TAWALA WA WILAYA YA KISARAWE APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA RUSHWA"

Post a Comment