MWANAMKE AJIFUNGUA WATOTO SABA.

MWANAMKE AJIFUNGUA WATOTO SABA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANAMKE AJIFUNGUA WATOTO SABA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANAMKE AJIFUNGUA WATOTO SABA.
kiungo : MWANAMKE AJIFUNGUA WATOTO SABA.

soma pia


MWANAMKE AJIFUNGUA WATOTO SABA.


Katika kinachoelekea kuwa mujiza mwanamke mmoja nchini Iraqi, alifanikiwa kujifungua watoto saba kwa mpigo. 

Mwanamke huyo aliyejifungua salama kupitia njia ya kawaida, anasemekana kuwa katika hali nzuri kiafya na watoto wake pia wapo katika hali nzuri.

Kulingana na ripoti ya DailyMail, mwanamke huyo aliyejifungulia katika mkoa wa Diyali ni wa kwanza kujifungua idadi hiyo ya watoto nchini humo.

 Msemaji wa hospitali alimojifungulia mama huyo alithibitisha tukio hilo na kusema kuwa, aliwasili katika hospitali hiyo na kujifungua watoto sita wa kike na mmoja wa kiume. 

 Baba wa watoto hao Youssed Fadl, alisema yeye na mke wake hawakutarajia idadi hiyo ya watoto na sasa wana watoto kumi wa kulea, wakiwamo wa mbeleni.

 Pia Fadl alisema mke wake hakuwa na ufahamu angeweza kupata watoto zaidi ya mmoja kabla ya kuupata ujauzito huo.


Hivyo makala MWANAMKE AJIFUNGUA WATOTO SABA.

yaani makala yote MWANAMKE AJIFUNGUA WATOTO SABA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANAMKE AJIFUNGUA WATOTO SABA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mwanamke-ajifungua-watoto-saba.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MWANAMKE AJIFUNGUA WATOTO SABA."

Post a Comment