Balozi wa Jamhuri ya Korea Atembelea Ofisi za Bodi ya Filamu Tanzania (TFB)

Balozi wa Jamhuri ya Korea Atembelea Ofisi za Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi wa Jamhuri ya Korea Atembelea Ofisi za Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi wa Jamhuri ya Korea Atembelea Ofisi za Bodi ya Filamu Tanzania (TFB)
kiungo : Balozi wa Jamhuri ya Korea Atembelea Ofisi za Bodi ya Filamu Tanzania (TFB)

soma pia


Balozi wa Jamhuri ya Korea Atembelea Ofisi za Bodi ya Filamu Tanzania (TFB)

  Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), Bi. Joyce Fissoo (kulia) akifafanua jambo kwa Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini CHO, Tae – Ick wakati Balozi huyo alipotembelea ofisi za bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na bodi hiyo.
 Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini CHO, Tae – Ick (kushoto) akizungumza na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), Bi. Joyce Fissoo wakati Balozi huyo alipotembelea ofisi za bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na bodi hiyo.
 Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), Bi. Joyce Fissoo (kulia) akifafanua jambo kwa Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini CHO, Tae – Ick (katikati)  wakati Balozi huyo alipotembelea ofisi za bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na bodi hiyo, kushoto ni Msaidizi wa Balozi Bi.Jiin An.
 Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini CHO, Tae – Ick  akiangalia moja ya filamu katika maktaba ya bodi ya filamu wakati Balozi huyo alipotembelea ofisi za bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na bodi hiyo.
  Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), Bi. Joyce Fissoo (kushoto) akimkabidhia Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini CHO, Tae – Ick (kushoto)  zawadi ya picha za tingatinga wakati Balozi huyo alipotembelea ofisi za bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na bodi hiyo, katikati ni Mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Keneth Kasigila.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), Bi. Joyce Fissoo (watatu toka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini CHO, Tae – Ick  (wa tatu toka kulia) wakati Balozi huyo alipotembelea ofisi za bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na bodi hiyo.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam.



Hivyo makala Balozi wa Jamhuri ya Korea Atembelea Ofisi za Bodi ya Filamu Tanzania (TFB)

yaani makala yote Balozi wa Jamhuri ya Korea Atembelea Ofisi za Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi wa Jamhuri ya Korea Atembelea Ofisi za Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/balozi-wa-jamhuri-ya-korea-atembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Balozi wa Jamhuri ya Korea Atembelea Ofisi za Bodi ya Filamu Tanzania (TFB)"

Post a Comment