RAIS MUSEVENI KUGOMBEA MARA YA SITA.

RAIS MUSEVENI KUGOMBEA MARA YA SITA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MUSEVENI KUGOMBEA MARA YA SITA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MUSEVENI KUGOMBEA MARA YA SITA.
kiungo : RAIS MUSEVENI KUGOMBEA MARA YA SITA.

soma pia


RAIS MUSEVENI KUGOMBEA MARA YA SITA.

Chama tawala nchini Uganda kimemteua Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi wa mwaka 2021.

Hii inamaana ya kuwa, kiongozi huyo mwenye miaka 74, na aliyeingia madarakani kwa mtutu wa bunduki mwaka 1986, atagombea urais kwa muhula wa sita.

Chama cha National Resistance Movement (NRM) kimekubali, katika kikao kilichoongozwa na Museveni jana Jumatano kuwa " (Museveni) aendelee kuongoza harakati na taifa mwaka 2021 na kuendelea ili kuondosha vikwazo vya mabadiliko na maendeleo."

Miaka ya nyuma, Museveni aliwahi kusema kuwa, viongozi "wanaodumu" madarakani ndio chanzo cha matatizo barani Afrika.

Hata hivyo, wakati akigombea muhula wa tano wa madaraka mwaka 2016, alisema kuwa huo haukuwa muda muafaka kwake kuondoka madarakani kwani bado alikuwa na kazi ya kufanya.


Hivyo makala RAIS MUSEVENI KUGOMBEA MARA YA SITA.

yaani makala yote RAIS MUSEVENI KUGOMBEA MARA YA SITA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MUSEVENI KUGOMBEA MARA YA SITA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rais-museveni-kugombea-mara-ya-sita.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS MUSEVENI KUGOMBEA MARA YA SITA."

Post a Comment