title : MASHINDANO YA ULENGAJI SHABAHA YAFANA JIJINI DAR
kiungo : MASHINDANO YA ULENGAJI SHABAHA YAFANA JIJINI DAR
MASHINDANO YA ULENGAJI SHABAHA YAFANA JIJINI DAR
Washiriki wa mashindano ya Ulengaji Shabaha wakiwa katika Harakati za Mashindano ya Majeshi Tanzania BAMMATA yanayoendelea katika Viwanja vya Kunduchi Jijini Dar es Salaam. ( Picha na Luteni Selemani Semunyu).
Waamuzi wa Mchezo wa Ulengaji Shabaha wakihesabu Alama baada ya Wapigaji kupiga katika Uwanja wa Kunduchi Jijini Dar es Salaam wakati wa Mashindano ( Picha na Luteni Selemani Semunyu)
Washiriki wa mashindano ya Ulengaji Shabaha wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza Mashindano ya Majeshi Tanzania kwa walenga Shabaha BAMMATA yanayoendelea katika Viwanja vya Kunduchi Jijini Dar es Salaam. ( Picha na Luteni Selemani Semunyu).
Hivyo makala MASHINDANO YA ULENGAJI SHABAHA YAFANA JIJINI DAR
yaani makala yote MASHINDANO YA ULENGAJI SHABAHA YAFANA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASHINDANO YA ULENGAJI SHABAHA YAFANA JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mashindano-ya-ulengaji-shabaha-yafana.html
0 Response to "MASHINDANO YA ULENGAJI SHABAHA YAFANA JIJINI DAR"
Post a Comment