title : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAZINGIRA MKOANI TABORA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAZINGIRA MKOANI TABORA
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAZINGIRA MKOANI TABORA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kongamano Maalum la Mazingira Mkoa wa Tabora lililofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Mtemi Isike Mwanakiyungi, Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Sehemu ya wahudhuriaji katika Kongamano la Mazingira lililofanyika mkoani Tabora leo ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye yupo kwenye ziara ya kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua mnara wa Uzinduzi wa Upandaji Miti mkoani Tabora kwa heshima ya Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Picha ya Mnara wa Uzinduzi wa Upandaji Miti Mkoani Tabora ulionzinduliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAZINGIRA MKOANI TABORA
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAZINGIRA MKOANI TABORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAZINGIRA MKOANI TABORA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/makamu-wa-rais-afungua-kongamano-la.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAZINGIRA MKOANI TABORA"
Post a Comment