title : RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA
kiungo : RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA
RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Kijiji cha Kiyuni na Ngomeni Wilaya ya Chakechake Pemba baada ya kuwafungulia barabara na kituo cha afya leo akiwa katika ziara yake kisiwanin Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Kijiji cha Kiyuni na Ngomeni na kuonesha Ilani ya CCM ,jinsi inavyotekelezwa kwa wananchi, katika sekta mbalimbali za Kijamii (Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wananchi wa vijiji vya Kiyuni na Ngomeni wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar Dk.Shein.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA
yaani makala yote RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rais-dkt-shein-aendelea-na-ziara-yake_25.html
0 Response to "RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA"
Post a Comment