title : MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA MKOANI SINGIDA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA MKOANI SINGIDA
MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA MKOANI SINGIDA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi mara baada ya kuwasili wilayani Manyoni na kupokea taarifa ya mkoa katika ukumbi wa Halmashauri Manyoni ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake ya kuhamasisha na kukagua shughuli za kimaendeleo mkoani humo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais )

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na vijana wa skauti mara baada ya kuwasili wilayani Manyoni, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki Mhe. Daniel Mtuka mara baada ya kuwasili wilayani Manyoni tayari kwa ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Singida
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA MKOANI SINGIDA
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA MKOANI SINGIDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA MKOANI SINGIDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/makamu-wa-rais-aanza-ziara-mkoani.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA MKOANI SINGIDA"
Post a Comment