title : LORI LAPIGA MWELEKA
kiungo : LORI LAPIGA MWELEKA
LORI LAPIGA MWELEKA
Lori lililokuwa likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea mkoa wa Pwani limepiga mweleka na kuingia mtaroni katika barabara ya Morogoro eneo la Kibamba wilaya ya Ubungo jijini Dar as Salaam leo, chanzo cha ajali hiyo inadaiwa gari ilishindwa kupanda katika mlima wenye mwinuko mkali (picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii).
Baadhai ya wakazi wa eneo hilo wakipita pembeni ya lori hilo lililo piga mweleka na kuingia mtaroni barabara ya Morogoro eneo la Kibamba wilaya ya Ubungo jijini Dar as Salaam leo, chanzo cha ajali hiyo gari inaelezwa gari ilishindwa kupanda mlima wenye mwinuko mkali.
Hivyo makala LORI LAPIGA MWELEKA
yaani makala yote LORI LAPIGA MWELEKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala LORI LAPIGA MWELEKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/lori-lapiga-mweleka.html
0 Response to "LORI LAPIGA MWELEKA"
Post a Comment