title : KAMATI YA AMANI YA MKOA WA DAR ES SALAAM YAMTEMBELEA KATIBU WA BUNGE OFISINI KWAKE
kiungo : KAMATI YA AMANI YA MKOA WA DAR ES SALAAM YAMTEMBELEA KATIBU WA BUNGE OFISINI KWAKE
KAMATI YA AMANI YA MKOA WA DAR ES SALAAM YAMTEMBELEA KATIBU WA BUNGE OFISINI KWAKE
Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai (Kulia) akimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma. Waziri Dkt. Mwakyembe aliongozana na Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salim na Katibu wa Kamati hiyo Mchungaji Jackson Sosthenes.
Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai (Kulia) akimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akifurahi jambo na wageni wake Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salim na Katibu wa Kamati hiyo Mchungaji Jackson Sosthenes walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salim na Katibu wa Kamati hiyo Mchungaji Jackson Sosthenes walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala KAMATI YA AMANI YA MKOA WA DAR ES SALAAM YAMTEMBELEA KATIBU WA BUNGE OFISINI KWAKE
yaani makala yote KAMATI YA AMANI YA MKOA WA DAR ES SALAAM YAMTEMBELEA KATIBU WA BUNGE OFISINI KWAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA AMANI YA MKOA WA DAR ES SALAAM YAMTEMBELEA KATIBU WA BUNGE OFISINI KWAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/kamati-ya-amani-ya-mkoa-wa-dar-es.html
0 Response to "KAMATI YA AMANI YA MKOA WA DAR ES SALAAM YAMTEMBELEA KATIBU WA BUNGE OFISINI KWAKE"
Post a Comment