LEMUTUZ AWAJIA JUU WANAOICHAFUA EQUITY BANK

LEMUTUZ AWAJIA JUU WANAOICHAFUA EQUITY BANK - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LEMUTUZ AWAJIA JUU WANAOICHAFUA EQUITY BANK, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LEMUTUZ AWAJIA JUU WANAOICHAFUA EQUITY BANK
kiungo : LEMUTUZ AWAJIA JUU WANAOICHAFUA EQUITY BANK

soma pia


LEMUTUZ AWAJIA JUU WANAOICHAFUA EQUITY BANK

The Art of FACTS mimi ni mteja wa Equity Bank I was shocked last week kuona habari za kuichafua my Bank ambayo kabla ya kufungua my account tayari nilishafanya utafiti wa kutosha na kuijua vizuri bank hii ambayo wala sio siri kwa maoni yangu ndiyo THE BEST BANK nchini so far ambayo ilianzishwa Mwaka 2012 na kwa sasa ina Branches 15 Tanzania nzima pamoja na Zanzibar na tayari wanazo ATM’s 21 wakiwa na nia ya kubadilisha maisha ya Wananchi wa kawaida kiuchumi kwa kuwapatia huduma bora na fursa. 

 Equity Bank Limited Tanzania ni part of Equity Group Holdings Plc iliyoanzishwa Mwaka 1984 kutokea Kenya na Mkurugenzi wake wa kwanza akiwa Dr. James Mwangi na leo Equity ipo Africa nzima na inaongoza masoko ya nchi za Kenya, Uganda na Rwanda, Congo-DRC, South Sudan. Bank hii ina wateja Millioni 21.8 na mtaji wa jumla ya Dola za Kimarekani USD 5.7 Billioni, kwa ujumla wake ni Bank ambayo inashika nafasi ya 11 Duniani kwa Matokeo na Mali ilizonazo. 

 Mwaka uliopita ilishinda zawadi ya “African Bank of the Year” na Mkurugenzi wake Mkuu Dr. James Mwangi ameshinda pia zawadi ya “African Banker of the Year 2018”. Sasa kwahayo machache naomba kuwakumbusha wale wote wanaohangaika kuichafua Bank hii kwamba mmepotea sana ushindani wa bank ufanyike kwa kazi na sio kuchafuana mitandaoni cause binafsi siwezi kunyamaza kuona Bank yangu inachafuliwa kwa sababu za kiushindani wa kibiashara …

I salute you Equity Bank endeleeni kusaidia Wajasiriamali wanyonge nchini kwa mikopo yenye riba nafuu na pia endeleeni kutusaidia hata sisi wajasiriamali wadogo wadogo kwa mikopo nafuu ..haya makelele ya Social Media niachieni mimi hahahahaha U know …MUNGU AIBARIKI TANZANIA! AMEN! – @ lemutuz_superbrand


Hivyo makala LEMUTUZ AWAJIA JUU WANAOICHAFUA EQUITY BANK

yaani makala yote LEMUTUZ AWAJIA JUU WANAOICHAFUA EQUITY BANK Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LEMUTUZ AWAJIA JUU WANAOICHAFUA EQUITY BANK mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/lemutuz-awajia-juu-wanaoichafua-equity.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "LEMUTUZ AWAJIA JUU WANAOICHAFUA EQUITY BANK"

Post a Comment