Kampeni za Uchaguzi zafungwa Nigeria,Uchaguzi kufanyika jumamosi.

Kampeni za Uchaguzi zafungwa Nigeria,Uchaguzi kufanyika jumamosi. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kampeni za Uchaguzi zafungwa Nigeria,Uchaguzi kufanyika jumamosi., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kampeni za Uchaguzi zafungwa Nigeria,Uchaguzi kufanyika jumamosi.
kiungo : Kampeni za Uchaguzi zafungwa Nigeria,Uchaguzi kufanyika jumamosi.

soma pia


Kampeni za Uchaguzi zafungwa Nigeria,Uchaguzi kufanyika jumamosi.

Alhamisi ndio siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi nchini Nigeria, siku ya jumamosi nchi hiyo itafanya uchaguzi wa urais. Nigeria ilifanikiwa kuingia katika uongozi wa Kidemokrasia miaka minne tu iliyopita licha ya matatizo mbalimbali wanayokumbana nayo hivi sasa.

Kampeni za uchaguzi zikisindikizwa na tungo za muziki kutoka kwa waimbaji mbalimbali, Rais wa sasa na Mgombea Mohamud Buhari ameahidi kupeleka nchi hii katika hatua nyingine endapo atachaguliwa.

Buhari ndie alikua mwanasiasa wa kwanza wa upinzani kushinda uchaguzi wa nchi hiyo.Mapema wakati akifungua kampeni zake mwaka jana alisema kuwa vita ilianza muhula wa kwanza nahitaji kuendelea.

''tunawajibika kuwa kazi tuliyoanza muhula wa kwanza, ya kuhakikisha mali za nchi na rasilimali zinakua na umuhimu kwa wananchi wa kawaida'' alisema Buhari.

Lakini kuna maswali juu ya Afya ya Buhari mwenye umri wa miaka 76, amekua akisafiri mara kwa mara kwenda London kwa matibabu ya ungonjwa ambao umewekwa siri.

Kuna wagombea wengine 72 wa kiti cha urais, lakini mshindani mkuu ni Atiku Aboubakar , ikiwa ni mara yake ya nne kugombea kiti hiko.Anasifika kuwa mfanyabiashara mzuri, lakini suala la Rushwa wakati alipokua makamu wa rais linatia doa jitihada zake.

''katika uchunguzi wote uliofanywa dhidi yangu, kama mimi ni mla rushwa ama la, hakuna ushahidi uliopatikana, na kama kuna yoyote mwenye ushahidi ajitokeze, sijawahi kutuhumiwa kuhusu rushwa'' alisisitza Atiku Aboubakar.
Rais Muhammad Buhari.

KUSOMA ZAIDI BOFYA BBC Swahili.


Hivyo makala Kampeni za Uchaguzi zafungwa Nigeria,Uchaguzi kufanyika jumamosi.

yaani makala yote Kampeni za Uchaguzi zafungwa Nigeria,Uchaguzi kufanyika jumamosi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kampeni za Uchaguzi zafungwa Nigeria,Uchaguzi kufanyika jumamosi. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/kampeni-za-uchaguzi-zafungwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kampeni za Uchaguzi zafungwa Nigeria,Uchaguzi kufanyika jumamosi."

Post a Comment