title : RC PWANI AFUNGA MAFUNZO YA SUMA JKT RUVU
kiungo : RC PWANI AFUNGA MAFUNZO YA SUMA JKT RUVU
RC PWANI AFUNGA MAFUNZO YA SUMA JKT RUVU
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya kampuni ya ulinzi ya Suma JKT kwenye kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa cha 832 Kj cha Ruvu Mlandizi - Kibaha.
Mkurugenzi wa kampuni ya ulinzi ya Suma JKT, Meja Alfred Mwaijande akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya kampuni ya ulinzi ya Suma Jkt kwenye kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa cha 832 Kj cha Ruvu Mlandizi - Kibaha.
Wahitimu wa mafunzo ya kampuni ya ulinzi ya Suma JKT wakiwa kwenye kufunga mafunzo ya kampuno ya ulinzi ya Suma JKT kwenye kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa cha 832 Kj cha Ruvu Mlandizi - Kibaha.(picha na Mwamvua Mwinyi)
Hivyo makala RC PWANI AFUNGA MAFUNZO YA SUMA JKT RUVU
yaani makala yote RC PWANI AFUNGA MAFUNZO YA SUMA JKT RUVU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC PWANI AFUNGA MAFUNZO YA SUMA JKT RUVU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/rc-pwani-afunga-mafunzo-ya-suma-jkt-ruvu.html
0 Response to "RC PWANI AFUNGA MAFUNZO YA SUMA JKT RUVU"
Post a Comment