KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE TANZANIA - KINGOLWIRA, MOROGORO

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE TANZANIA - KINGOLWIRA, MOROGORO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE TANZANIA - KINGOLWIRA, MOROGORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE TANZANIA - KINGOLWIRA, MOROGORO
kiungo : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE TANZANIA - KINGOLWIRA, MOROGORO

soma pia


KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE TANZANIA - KINGOLWIRA, MOROGORO

Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Gereza Kuu la Wanawake Tanzania - Kingolwira, ACP. Loyce Ruhembe alipotembelea alipotembelea Gereza hilo jana februari 4, 2019 katika ziara yake ya kikazi Mkoani Morogoro.
. Mkuu wa Gereza Kuu la Wanawake Tanzania, Kingolwira, ACP. Loyce Ruhembe akitoa taarifa fupi ya uendeshaji wa Gereza Kuu la Wanawake Tanzania – Kingolwira kwa Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(kushoto meza kuu) jana februari 4, 2019 alipotembelea Gereza hilo.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(katikati) akikagua maeneo mbalimbali ya Gereza Kuu la Wananwake(kulia) ni Mkuu wa Gereza Kuu la Wanawake Tanzania, Kingolwira, ACP. Loyce Ruhembe. Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Udereva cha Magereza – Kingolwira, ACP. Lazaro Nyanga.
Askari wa Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira wakiwa timamu kazini wakati Kamishna Jenerali wa Magereza nchini(hayupo pichani) akizungumza na Wafungwa wa Gereza hilo jana februari 4, 2019 alipotembelea Gereza hilo.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(kulia) akiangalia mradi wa kuku wa mayai katika Gereza Kuu la Wanawake Tanzania – Kingolwira alipotembelea jana februari 4, 2019.
Ujenzi wa nyumba kwa njia ya ubunifu katika Kambi mojawapo ya Gereza Mtego wa Simba, Morogoro ukiendelea katika hatua awali za ujenzi.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike akiangalia mashine kufunga majani ya malisho ya mifugo katika mradi wa ng’ombe wa maziwa Gereza Mtego wa Simba
Mkuu wa Chuo cha Udereva cha Magereza – Kingolwira, ACP. Lazaro Nyanga akimuongoza Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(kushoto) kukagua majenego mbalimbali yanayokarabatiwa katika chuo hicho kwa kutumia ubunifu(Picha na Jeshi la Magereza).


Hivyo makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE TANZANIA - KINGOLWIRA, MOROGORO

yaani makala yote KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE TANZANIA - KINGOLWIRA, MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE TANZANIA - KINGOLWIRA, MOROGORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/kamishna-jenerali-wa-magereza-phaustine_4.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE TANZANIA - KINGOLWIRA, MOROGORO"

Post a Comment