PARK HYATT ZANZIBAR KUSHIRIKI KUINUA VIPAJI VYA VIJANA

PARK HYATT ZANZIBAR KUSHIRIKI KUINUA VIPAJI VYA VIJANA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PARK HYATT ZANZIBAR KUSHIRIKI KUINUA VIPAJI VYA VIJANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PARK HYATT ZANZIBAR KUSHIRIKI KUINUA VIPAJI VYA VIJANA
kiungo : PARK HYATT ZANZIBAR KUSHIRIKI KUINUA VIPAJI VYA VIJANA

soma pia


PARK HYATT ZANZIBAR KUSHIRIKI KUINUA VIPAJI VYA VIJANA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

UONGOZI wa Hotel ya Hyatt umemtambulisha meneja mpya wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar  Nicolas Cedro ambaye amejizatiti katika kusaidia kuinua vipaji vya vijana hususani katika masuala ya upishi na hoteli.

Hoteli hiyo iliyopo maeneo maarufu ya Stone Town tayari imeshaweza kusaidia huduma za kijamii kama kufungua vituo viwili vya watoto wanaoishi katika mazingira magumu, kituo cha kulea wazee wasiojiweza, elimu, maji na michezo hususani mpira wa miguu.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya utambulisho huo, Nicolas Credo amesema kuwa mbali na kuwasaidia vijana katika masuala ya hoteli ambapo tayari ameshafanya mazungumzo na Waziri wa Utalii Zanzibar Mahmoud Kombo kwa ajili ya kuweza kusaidia vijana ambapo kiutalaamu yeye ana Shahada mbili za masuala ya vyakula na uendeshaji hoteli kutoka chuo kikuu cha hoteli kilichopo Nice nchini Ufaransa pia Shahada ya uzamili ya uendeshaji wa hoteli kutoka katika chuo kikuu cha E Cornel. 

Cedro amesema kuwa atatumia uzoefu wa elimu, ujuzi wa lugha pamoja na ubunifu katika kujenga sifa na ubora wa hoteli hiyo na pia kwa wafanyakazi wake kwani akiwa kijana wa miaka 17 aliweza kuanza kuanza kazi ya upishi na pia anatambua umuhimu wa kuibua na kulea vipaji vya vijana na hivyo anategemea kushiriki katika shughuli za kijamii akiwa Zanzibar kwa kushirikiana na shule mbali mbali za kisiwani hapo za mapishi ili kusaidia vijana wenye vipaji vya upishi waweze kupata ujuzi wa kimataifa alio nao na hivyo waweze kujiendeleza katika fani hiyo na kuitumia kama njia ya kujiinua kiuchumi.

Meneja mpya wa Park Hyatt Zanzibar Nicolas Cedro akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutambulishwa na akielezea mikakati yake ya kuinua vipaji vya vijana katika masuala ya upishi na hoteli Visiwani humo. Kushoto ni Meneja Masoko Milvas Burnice.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala PARK HYATT ZANZIBAR KUSHIRIKI KUINUA VIPAJI VYA VIJANA

yaani makala yote PARK HYATT ZANZIBAR KUSHIRIKI KUINUA VIPAJI VYA VIJANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PARK HYATT ZANZIBAR KUSHIRIKI KUINUA VIPAJI VYA VIJANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/park-hyatt-zanzibar-kushiriki-kuinua.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "PARK HYATT ZANZIBAR KUSHIRIKI KUINUA VIPAJI VYA VIJANA"

Post a Comment