DAVIDO KUIBEBA TENA BENDERA YA AFRIKA TUZO ZA NICKELODEON

DAVIDO KUIBEBA TENA BENDERA YA AFRIKA TUZO ZA NICKELODEON - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DAVIDO KUIBEBA TENA BENDERA YA AFRIKA TUZO ZA NICKELODEON, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DAVIDO KUIBEBA TENA BENDERA YA AFRIKA TUZO ZA NICKELODEON
kiungo : DAVIDO KUIBEBA TENA BENDERA YA AFRIKA TUZO ZA NICKELODEON

soma pia


DAVIDO KUIBEBA TENA BENDERA YA AFRIKA TUZO ZA NICKELODEON

Na Khadija Seif, Globu ya Jamii
MWANAMUZIKI nchini ya Nigeria David Adeleke, maarufu kama Davido amechaguliwa kushiriki kwa mara nyingine katika Tuzo za kimataifa  za Nickelodeon kwa mwaka huu.

 Miongoni mwa  wanamuziki wanaoshindanishwa na Davido katika tuzo hiyo kwenye kipengele cha Mwanamuziki anaependwa wa kimataifa ni pamoja na Taylor Swift, David Guetta na J Balvin kutoka amerika ya kusini 

Davido akiwa msanii mwenye umri wa miaka 26 kwa mwaka huu imekua fursa kwake kwa mara ya pili kushiriki katika tuzo hizo  kutoka Afrika huku akishindanishwa na wasanii kutoka mataifa mbalimbali.

Na usiku wa Tuzo hizo utapambwa Na Msanii djKhaleed ambae kwa msimu uliopita alijizolea  tuzo tatu ikiwemo tuzo ya rapa bora wa mwaka pamoja na Msanii bora wa mwaka kimataifa huku wimbo wa No brainer aliomshirikisha Msanii Justin Bieber kuibuka wimbo bora wa mwaka.

Pia wasanii ambao wamebahatika kuwepo kwenye vipengele tofauti tofauti katika tuzo ni Cardi B, Ariana Grande, Maroon 5, Camila Cabello ambao wanafanya vizuri kwa sasa kimataifa kwenye soko la muziki.


Hivyo makala DAVIDO KUIBEBA TENA BENDERA YA AFRIKA TUZO ZA NICKELODEON

yaani makala yote DAVIDO KUIBEBA TENA BENDERA YA AFRIKA TUZO ZA NICKELODEON Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DAVIDO KUIBEBA TENA BENDERA YA AFRIKA TUZO ZA NICKELODEON mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/davido-kuibeba-tena-bendera-ya-afrika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DAVIDO KUIBEBA TENA BENDERA YA AFRIKA TUZO ZA NICKELODEON"

Post a Comment