RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 - 300 (DODOMA) ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 - 300 (DODOMA) ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 - 300 (DODOMA) ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 - 300 (DODOMA) ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA
kiungo : RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 - 300 (DODOMA) ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA

soma pia


RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 - 300 (DODOMA) ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA

  Ndege mpya aina ya Airbus 220 - 300 ambayo imenunuliwa na Serikali ikitua kwa mara ya kwanza katika ardhi ya Tanzania Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Desemba 23,2018
Ndege mpya aina ya Airbus 220-300 ambayo imenunuliwa na Serikali ikimwagiwa maji ikiwa ni ishara ya karibu na heshima (Water salute) kwa mara ya kwanza katika ardhi ya Tanzania Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Desemba 23,2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia kabla ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Airbus 220 - 300 ambayo imenunuliwa na Serikali.Hafla iliyofanyika katika Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Desemba 23,2018
  Katibu mkuu kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi pamoja na katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi mawasiliano na Uchukuzi Dkt.Leonard Chamuriho wakisaini mkataba wa makabidhiano ya Ndege mpya ya Airbus 220-300 itakayokabidhiwa katika shirika la ndege la Tanzania mbele ya   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli,Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wakishuhudia kabla ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Airbus 220 - 300 ambayo imenunuliwa na Serikali.Hafla iliyofanyika katika Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Desemba 23,2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Rubani mstaafu Kapteni Mapunda kutokana na uzalendo wake kwa Taifa kabla ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Airbus 220 - 300 ambayo imenunuliwa na Serikali.Hafla iliyofanyika katika Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Desemba 23,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na  Rubani mstaafu Kapteni Mapunda na mkewe kutokana na uzalendo wake kwa Taifa  na kumpa zawadia ya kiasi cha Tsh Milioni kumi kabla ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Airbus 220 - 300 ambayo imenunuliwa na Serikali.Hafla iliyofanyika katika Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Desemba 23,2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya ndege na Mkewe Janeth Magufuli ,Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,Spika wa Bunge Job Ndugai,Balozi wa Canada Pamela O’donnel ,Katibu mkuu kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Airbus 220-300 ambayo imenunuliwa na Serikali.Hafla iliyofanyika katika Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Desemba 23,2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,Balozi wa Canada Pamela O’donnel pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Airbus 220-300 ambayo imenunuliwa na Serikali.Hafla iliyofanyika katika Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Desemba 23,2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na simu alipokuwa anakagua ndege mpya ya Airbus 220-300 ndani ya ndege hiyo na mmoja wa Marubani Kapteni Pandya aliyekuja na ndege hiyo mara baada ya kuwasili katika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,Spika wa Bunge Job Ndugai,Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli ,Balozi wa Canada Pamela O’donnel ,Katibu mkuu kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi pamoja na viongozi na Wafanyakazi wa Shirika La ndege la Tanzania (ATCL) mara baada ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Airbus 220-300 ambayo imenunuliwa na Serikali.Hafla iliyofanyika katika Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Desemba 23,2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuka kwenye ndege mpya aina ya Airbus 220-300 na Mkewe Mama Janeth Magufuli, Hafla iliyofanyika katika Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Desemba 23, 2018. PICHA NA IKULU

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 - 300 (DODOMA) ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA

yaani makala yote RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 - 300 (DODOMA) ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 - 300 (DODOMA) ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/rais-dkt-john-pombe-magufuli-apokea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 - 300 (DODOMA) ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA"

Post a Comment