Zitto Kabwe Hawezi Kuwa Rais wa Nchi Hii....Haiwezekani soma hapo.

Zitto Kabwe Hawezi Kuwa Rais wa Nchi Hii....Haiwezekani soma hapo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zitto Kabwe Hawezi Kuwa Rais wa Nchi Hii....Haiwezekani soma hapo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zitto Kabwe Hawezi Kuwa Rais wa Nchi Hii....Haiwezekani soma hapo.
kiungo : Zitto Kabwe Hawezi Kuwa Rais wa Nchi Hii....Haiwezekani soma hapo.

soma pia


Zitto Kabwe Hawezi Kuwa Rais wa Nchi Hii....Haiwezekani soma hapo.

 

Kesi ya kikatiba kuhusu kinga ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mujibu wa Katiba ya Nchi na Mamlaka ya Bunge katika kuwaita na kuwahoji watu mbalimbali, leo inatajwa rasmi mahakamani.

Kesi hiyo ya Kikatiba namba 01/2019 imefunguliwa Mahakama Kuu, Masjala Kuu na mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe dhidi ya Spika wa Bunge, Job Ndugai.

Mahakama hiyo imetoa wito kwa wadau wote (mdai- Zitto na mdaiwa-Spika) ikiwataka kufika mahakamani leo kesi hiyo itakapotajwa kwa mara ya kwanza.

Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na Firmin Matogolo, Dk Benhajj Masoud na Elinaza Luvanda.

Katika kesi hiyo, Zitto ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo anaiomba Mahakama Kuu itoe tafsiri ya kinga ya CAG iliyopo kikatiba na tafsiri ya Sheria ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge katika kushtaki watu wanaosemekana kulidharau Bunge.

Zitto alifungua kesi hiyo baada ya Spika kupitia kwenye vyombo vya habari na baadaye kumwandikia barua CAG, Profesa Mussa Assad akimtaka afike mbele ya kamati ya Bunge kuhojiwa kutokana na kauli aliyoitoa akiwa Marekani kuwa Bunge ni dhaifu.


Hivyo makala Zitto Kabwe Hawezi Kuwa Rais wa Nchi Hii....Haiwezekani soma hapo.

yaani makala yote Zitto Kabwe Hawezi Kuwa Rais wa Nchi Hii....Haiwezekani soma hapo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zitto Kabwe Hawezi Kuwa Rais wa Nchi Hii....Haiwezekani soma hapo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/zitto-kabwe-hawezi-kuwa-rais-wa-nchi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Zitto Kabwe Hawezi Kuwa Rais wa Nchi Hii....Haiwezekani soma hapo."

Post a Comment