Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ajumuika pamoja na Wafanyabiashara wa Jijini Mwanza katika Hafla ya Jioni

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ajumuika pamoja na Wafanyabiashara wa Jijini Mwanza katika Hafla ya Jioni - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ajumuika pamoja na Wafanyabiashara wa Jijini Mwanza katika Hafla ya Jioni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ajumuika pamoja na Wafanyabiashara wa Jijini Mwanza katika Hafla ya Jioni
kiungo : Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ajumuika pamoja na Wafanyabiashara wa Jijini Mwanza katika Hafla ya Jioni

soma pia


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ajumuika pamoja na Wafanyabiashara wa Jijini Mwanza katika Hafla ya Jioni

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) akitambulishwa kwa Mkuu wa Wilaya Ilemela, Severine Lalika aliyemuwakilisha Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella katika hafla ya jioni iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa Wateja na Wafanyabiashara wa Jijini Mwanza, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Gold Crest, Januari 29, 2019. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Ally Laay pamoja na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akijumuika pamoja na Wateja na Wafanyabiashara wa Jijini Mwanza katika Hafla ya Jioni iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Gold Crest, Januari 29, 2019, Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Dkt. Severline Laika, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay na Mfanyabiashara maarufu jijini Mwanza, Dkt. Anthony Dialo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay akiznumza katika hafla hiyo na kumtambilisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela kwa baadhi ya wateja na wafanyabiashara wa jijini Mwanza waliohudhulia hafla hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Gold Crest, Januari 29, 2019, jijini Mwanza.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akiznumza katika hafla hiyo ambapo aliwashukru wateja na wafanyabiashara wa jijini Mwanza kwa kuendelea kutumia huduma za benki hiyo na kuwaahidi huduma bora zaidi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza jambo na aliyekuwa Mkurugezi wa Benki ya CRDB tawi la Mwanza, Calystus Wambura baada ya kuagwa rasmi na Mameneja wa Benki hiyo wa Kanda ya Ziwa.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akimpongeza aliyekuwa Mkurugezi wa Benki ya CRDB tawi la Mwanza, Calystus Wambura baada ya kuagwa rasmi na Mameneja wa Benki hiyo wa Kanda ya Ziwa.






 




















Hivyo makala Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ajumuika pamoja na Wafanyabiashara wa Jijini Mwanza katika Hafla ya Jioni

yaani makala yote Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ajumuika pamoja na Wafanyabiashara wa Jijini Mwanza katika Hafla ya Jioni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ajumuika pamoja na Wafanyabiashara wa Jijini Mwanza katika Hafla ya Jioni mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mkurugenzi-mtendaji-wa-benki-ya-crdb.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ajumuika pamoja na Wafanyabiashara wa Jijini Mwanza katika Hafla ya Jioni"

Post a Comment