VODACOM TANZANIA WAZINDUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA MAKAMBAKO

VODACOM TANZANIA WAZINDUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA MAKAMBAKO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VODACOM TANZANIA WAZINDUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA MAKAMBAKO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VODACOM TANZANIA WAZINDUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA MAKAMBAKO
kiungo : VODACOM TANZANIA WAZINDUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA MAKAMBAKO

soma pia


VODACOM TANZANIA WAZINDUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA MAKAMBAKO

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Makambako Bw Paul Malala, akizungumza na wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa kituo cha kutoa huduma cha Vodacom Tanzania jijini Makambako, Njombe jana. (Kushoto) ni Mteja wa Vodacom Emmanuel Gadau, Meneja Mauzo wa Njombe, Humphrey Mutabiirwa na Msimamizi wa Maduka Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Yasinta Hussein. Vodacom Tanzania imelenga kuongeza upatikanaji wa huduma ili kuwezesha maendeleo ya jamii.
Msimamizi wa Duka, Mussa Ndazi, akielezea juu ya huduma mbali mbali zitakazo tolewa katikaa kituo kipya cha Vodacom Tanzania kilichozinduliwa jijini Makambako, Njombe jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Makambako Bw Paul Malala. Vodacom Tanzania imelenga kusogeza huduma zake ili kuwezesha maendeleo ya jamii.



Hivyo makala VODACOM TANZANIA WAZINDUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA MAKAMBAKO

yaani makala yote VODACOM TANZANIA WAZINDUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA MAKAMBAKO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM TANZANIA WAZINDUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA MAKAMBAKO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/vodacom-tanzania-wazindua-kituo-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "VODACOM TANZANIA WAZINDUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA MAKAMBAKO"

Post a Comment