RAIS MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE WA RAIS KAGAME, AMUAGA BALOZI WA ZIMBABWE

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE WA RAIS KAGAME, AMUAGA BALOZI WA ZIMBABWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE WA RAIS KAGAME, AMUAGA BALOZI WA ZIMBABWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE WA RAIS KAGAME, AMUAGA BALOZI WA ZIMBABWE
kiungo : RAIS MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE WA RAIS KAGAME, AMUAGA BALOZI WA ZIMBABWE

soma pia


RAIS MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE WA RAIS KAGAME, AMUAGA BALOZI WA ZIMBABWE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea  na Dkt Donald Kaberuka, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame (kushoto kwa Rais),  katika mazungumzo yaliyohudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,  Mhe. Dotto James na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Uwekezaji Profesa Adolf Mkenda Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 25, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Dkt. Donald Kaberuka, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 25, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Dkt. Donald Kaberula, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame  na ujumbe wake pamoja na  na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,  Mhe. Dotto James na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Uwekezaji Profesa Adolf Mkenda Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 25, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Dkt. Donald Kaberuka, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, huku Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akishuhudia baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 25, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Balozi wa Zimbabwe aliyemaliza muda wake nchini Mhe. Edzai A.C. Chimonyo aliyefika kumuaga rasmi Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 25, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Balozi wa Zimbabwe aliyemaliza muda wake nchini Mhe. Edzai A.C. Chimonyo aliyefika kumuaga rasmi Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 25, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza  Balozi wa Zimbabwe aliyemaliza muda wake nchini Mhe. Edzai A.C. Chimonyo aliyefika na kumuaga rasmi Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 25, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Zimbabwe aliyemaliza muda wake nchini Mhe. Edzai A.C. Chimonyo aliyefika kumuaga rasmi Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 25, 2018.






PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE WA RAIS KAGAME, AMUAGA BALOZI WA ZIMBABWE

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE WA RAIS KAGAME, AMUAGA BALOZI WA ZIMBABWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE WA RAIS KAGAME, AMUAGA BALOZI WA ZIMBABWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-magufuli-akutana-na-ujumbe-wa-rais_25.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE WA RAIS KAGAME, AMUAGA BALOZI WA ZIMBABWE"

Post a Comment