title : WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO KUBORESHA ELIMU ARUMERU
kiungo : WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO KUBORESHA ELIMU ARUMERU
WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO KUBORESHA ELIMU ARUMERU
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Cornel Muro na Rais wa Kilimanjaro Technology kutoka Marekani Bi Laurel Werner kwa pamoja wakizindua msaada wa matundu 10 ya vyoo vya kisasa katika shule ya msingi Seliani katika kata ya Kimnyaki Wilayani Arumeru
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Cornel Muro akikabidhiwa na Rais wa Kilimanjaro Technology kutoka Marekani Bi Laurel Werner msaada wa matundu 10 ya vyoo vya kisasa katika shule ya msingi Seliani katika kata ya Kimnyaki Wilayani Arumeru
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Cornel Muro,Rais wa Kilimanjaro Technology kutoka Marekani Bi Laurel Werner na wadau wengine wakikagua msaada wa matundu 10 ya vyoo vya kisasa katika shule ya msingi Seliani katika kata ya Kimnyaki Wilayani Arumeru
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Cornel Muro akikagua baadhi ya mabomba ya maji ndani ya vyoo hivyo.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Cornel Muro ameendelea kuungwa mkono na wadau mbalimbali wa Elimu ambapo Safari hii amepata msaada wa kujengewa Matundu kumi ya choo cha kisasa aina ya Swashi na wadau wa Kilimanjaro Technology kutoka Marekani, msaada wenye thamani ya Shilingi milioni 28.
Dc Muro ambae Kwa kipindi Cha Miezi mitano tangu kuteuliwa amejipambanua katika kipaumbele Cha ujenzi wa mifumo imara ya Elimu kuanzia ngazi ya Shule Za Msingi na Sekondari amesema Wadau wameendelea kujitokeza kutokana na Kuwa na vipaumbele vinavyogusa kero na changamoto za kijamii ikiwemo Elimu ambapo amesema Wilaya ya Arumeru imeamua kujikita katika Elimu kama mpango endelevu wa Wilaya ambao umeanza kuonyesha mafanikio Kwa kuongoza kimkoa Kwa kushika nafasi ya kwanza katika matokeo ya kidato Cha Pili Mwaka 2018 na nafasi ya Nne kitaifa.
Akikabidhi msaada huo wa matundu 10 ya vyoo vya kisasa katika shule ya msingi Seliani katika kata ya Kimnyaki Wilayani Arumeru Rais wa Kilimanjaro Technology kutoka Marekani Bi Laurel Werner amesema wameamua kuunga mkono kwa vitendo jitihada za Dc Muro katika kuboresha Sekta ya Elimu ambayo imeanza kuonyesha mafanikio Kutokana na Sera nzuri za Mhe, Rais Dkt. John Pombe Magufuli Kwa kutoa Elimu bure kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari hatua ambayo imewavutia na kuona Kuna haha ya kuunga mkono jitihada za Mhe Magufuli.
Akizungumza na wazazi Mara baada ya uzinduzi huo Dc Muro amesema ndani ya Wiki mbili zijazo watazindua choo kingine cha kisasa chenye matundu 20 ambacho kimejengwa Kwa ushirikiano wa wananchi, serikali pamoja na wadau wengine wa Maendeleo ikiwa ni jitihada za kukabiliana na changamoto ya kutitia Kwa choo cha shule ya msingi Seliani kata ya Kimnyaki Halmashauri ya Arusha kilichotitia Tarehe 26/08/2018 na kujeruhi mwanafunzi mmoja wa darasa la kwanza .

Hivyo makala WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO KUBORESHA ELIMU ARUMERU
yaani makala yote WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO KUBORESHA ELIMU ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO KUBORESHA ELIMU ARUMERU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/wadau-wa-maendeleo-wamuunga-mkono-dc.html
0 Response to "WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO KUBORESHA ELIMU ARUMERU"
Post a Comment